Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HONGERA kwa KUKOSEA MWANIWANI!

>> Wednesday, May 27, 2009

Labda unalazimishwa ujisikie vibaya UKIKOSEA!:-(

Na ukikosea unajisikia vibaya,...
... wakati UKIPATIA hata ukisifiwa kujisikia vizuri bado HAKUDUMU!

Na kumbuka;...
.. ..kama ulipatia juzi leo ni mpaka ujikumbushe kuhusu juzi ndio kumbukumbu ya ladha na sio ladha halisi ya ulivyopatia ndio hurudi na kukuchekelesha leo.

Na usisahau,..
.... kama ulikosea juzi ni mpaka ujikumbushe ya juzi ndio kukosea kwako juzi kunaweza kukuumiza tena leo.

Kwa hiyo kama ULIPATIA au KUKOSEA JUZI ndio ilitoka hiyo mchezo leo unaanza upya na KUKOSEA au KUPATIA sasa hivi kwenye umuhimu ni utakavyofanya leo.

UKIKOSEA bado watu watajifunza kutokan na makosa na kama unatumia akili usitishike na wababaishwao na KUSIFIA KUPATIA TU.

KUPATIA kwaweza kukawa ni CHANZO CHA UZEMBE hasa kwa vigezo vya kwa kuwa leo UMEPATIA!

KUKOSEA mara zote ni CHANZO CHA MAARIFA hasa kama UNAHIARI ya kujaribu tena hata kama UTAKOSEA TENA!

Swali:

  • Kwani wewe ni mara ngapi huwa unakosea makusudi?



Naweza kusema,..
....KOSEA mwanawani kama nia yako sio KUKOSEA!
Swali:
  • AU?

NIMEACHA na kumbuka MWANIWANI hili ni moja ya WAZO TU!

Ngojea No DOUBT waongelee -Underneath it All


Au tu Gregory Isaacs adai-My Only Lover

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP