Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

R.I.P Michael JACKSON!

>> Friday, June 26, 2009

Kwaheri Mkuu na Asante kwa muziki kama HUKO ULIKO unanisikia BINGWA!

Mie bado wako Mshabiki.

Ciao!






4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 10:01 am  

Buriani Michael Jackson,
hakika ulikuwa mfalme wa Pop.
Upumzike kwa amani.
Amina.

Yasinta Ngonyani 10:01 am  

astarehe kwa amani peponi amina.

Mzee wa Taratibu 1:58 pm  

Kufa kufaana pesa si kitu jamani pesa ilimuharibu mwafrika mwenzetu kataka mambo asietaka mungu, Alichokupa mungu shukuru usimkaidishe sasa mungu kamchukua atajibu nini huko..!!??

Anonymous 8:05 pm  

AFRIKA HATUMTAMBUI.


RASTA HAPA.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP