Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Aongeaye KIPARE kwa sauti ya KISUKUMA anaweza kustukiwa na WAPARE kuwa anaongea KIPARE kwa sauti ya KISUKUMA.:-(

>> Sunday, September 26, 2010


Lakini  ni KWELI pia,...
.... MPARE anaweza tu kuwa na SAUTI YA KISUKUMA katika kuongea  pia.:-(



Swali:
  • Kwani unadhani MLOKOLE hawezi kuongea KIHUNI?
  • Na siunakumbuka  kuwa AONGEAYE KISWAHILI kwa sauti ya KICHAGA bado aongeacho ni KISWAHILI?

NDIO,...
..HILI NI WAZO TU MKUU wa KITONGOJI!:-(

Hebu tumsikilize NDALA KASHEBA , King KIKII na wengine....wanaongea nini katika ndude-NI KWELI




Ndala KASHEBA alete-Yellow CARD



Au tu tudake Mpenzi Luta kutoka kwa Mutombo Audax na Maquis Original Zembwela


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:48 pm  

kipare :-) mimi nilidhani aongeaye kipare sauti ya kifini:-)))))

emu-three 8:56 am  

Hahaha, `aongeaye Kipare'...mmmh, lafudhi itamshitaki, lakini sio wote waongeao kilungha ambacho sio chao wanaweza kushitukia.
Mhhh, ni heri yao wao wanaigiza katika mantiki ya kuigiza, lakini wenzetu na sie, waigiza majukwaani wakinadi lile lilowashinda juzi na jana, lakini bado wanajitahidi kuongeza `msamiati' mgumu, ili waonekane Wasukuma, wakati ni Wapare...mmmh.
Ni hayo tu Mkuu

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP