Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda ni KWELI hakuna KUKU WAWILI WAKIENYEJI wafananao UTAMU!:-(

>> Sunday, September 19, 2010Ndio,...
...na LABDA hakuna WATU wawili ULIOWAONJA tabia zao au angalau sehemu zao za siri WENYE KUFANANA utamu.:-(

Swali:
  • Unafikiri upendayo ya BIBI  ya kupika uyoga yanafanana na ya MAMA au dada yako katika kupika uyoga uleule?
  • Unafikiri MAHARAGE ya mbeya ni maji mara moja kwa kila MTU?


  • Unafikiri kama KUMA ingekuwa ni ile ile kwanini BABA WATOTO angetaka kuonja na ya MKE wa jirani?Ndio,..
...ni KWELI hakuna KUKU wa KIENYEJI au tu  WA KISASA MUUZA SURA YA KIKUKU ambaye anafanana utamu na mwingine,..

...kwa kuwa UKIFANANISHA waweza kuanza kuamini kama MIMI kuwa ,.......kwa kuwa hata WEYE ujitulizavyo ili UPATE UTAMU kwa mke wako NA UJITULIZAPO KWA KUIBIA  zile za chapuchapu migombani,....


....labda ni tofauti kwa kuwa KUNAUWEZEKANO MKUBWA TU kuwa migomba yenyewe hutegemea mbolea KATIKA KUFANYA NDIZI za MATOMBO ni tamu zaidi ya NDIZI HIZOHIZO ZA MOROGORO MJINI na ndio maana labda  MAHINDI  ya SONGEA yaliozoea MBOLEA ZA CHUMVICHUMVI ni tofauti  KIUTAMU na yale yaliyozoea mbolea za mavi ya KUKU kwa UTAMU.:-(.:-(

Swali:
  • Unauhakika kuku wa jana ni kweli ni mtamu vilevile kama kuku wa leo?

SAMAHANI MUHESHIMIWA  hili ni wazo tu na SAMAHANI NYINGINE iliyodinda kwa kuwa katika TARALILA HII kunaneno KUMA.:-(

Moja kwa moja ngojea FELA KUTI aingilie ukutiukuti GHAFLA kwa ndude-WHO no KNOW  go KNOWRoy AYERS na FELA Ransome KUTI wapulizie muendeleo katika ndude-AFRICAFela Kuti alete -WakawakaFela arudie mdinyo-FOGOFOGO
Au tu FELA KUTI na GINGER BAKER waanzishe UPYA kudunga kwa - Let's Start

Ndio,...
....nipo na wadau kama ionekanavyo katika michoro niliyochora juzi ya jana:-(

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

John Mwaipopo 2:43 pm  

swali lingine: je hicho kinywaji ndani ya glasi uliyoshika kina ladha ileile ya kinywaji cha jana?

Simon Kitururu 3:02 pm  

@Mkuu John:Hapana Mkuu, kwa kuwa unajua tena hata ndani ya saa ile kile KILAJI cha kwanza na chapili vinatofautiana UTAMU ,......

....na kama sio mzoefu kilaji cha nne kama kipimo ni SAFARI LAGER utaanza kumuona hata usiyempenda sura ,...

....sura yake inaanza kuwa nzuri au angalau ingawa ana titi kama soksi ililolowa lenye uji ndani , waweza kudai LIMEPENDEZA angalau chuchu kwakuwa BAADA YA KILAJI CHA KUMI mrembo MWENYE SURA MBAYA anaweza kuwa anaonekana mzuri hata kwa chuchu tu zilizotuna vizuri.:-(

ADELA KAVISHE 9:55 pm  

nimeipenda blog yako

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP