Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama ni kweli WATOTO huiga WAKUBWA,....

>> Wednesday, October 20, 2010

....LABDA ya kale wala sio DHAHABU,....
.... hasa kama ni kweli WATOTO wa siku hizi NI KWELI wanatabia mbaya,...
.... kitu ambacho labda kuna ukweli hao watoto ni wabunifu namna hiyo na hawakujifunza baadhi ya TABIA MBAYA zisizo fanana kidhahabu kwa kuiga WAKUBWA.:-(

Swali:
  • Unauhakika katika TABIA MBAYA za JAMII mchango wako haupo?

Ndio,....
.... kwa bahati mbaya kale kamsemo kwa UNG'ENG'E kuwa OLD is GOLD,...
... labda kamezidishiwa chumvi ndio maana kuna mpaka MIJIDUME MIZEE MIZIMA inamezea dogodogo chuchu sindano na pia MIJIMAMA mizima MIZEE ambayo inatokwa udenda kwa RIJALI hausiboi mwenye misuli chuma na kujituma utafikiri anadamu aina ya viagra.:-(

Swali:
  • Unafikiri kama kila OLD is GOLD kwanini SERIKALI za AFRIKA ziongozwao na VIJANA wa ZAMANI mambo yake sio ya kidhahabu?

NI wazo tu dhaifu hili MKUU!

Hebu tumfuatilie BOBBY BROWN tokea enzi yuko na NEW EDITION katika-COOL it NOW



New EDITION katika -CANDY GIRL


Bobby Brown katika-Roni



Au tumalizie tu na BOBBY BROWN wakati anacheza mchezo wa MTU na MKE WAKE na WHITNEY HOUSTON katika- Something In Common

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP