Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika KUPANDISHA JAZBA utupu!:-(

>> Sunday, November 14, 2010

UTUPU nishai,...
...kwa kuwa UNAWEZA kujazia au KUJAZWA .:-(


Na labda wa KIBONGE ,...
....utupu wake NISHAI,...

...kwa kuwa LABDA ndio ufanyao mpaka  kuna MTU afuataye mpaka DINI ili katika utupu wake maishani KWA DINI  hata ya KIPAGANI ajaze kama vile HATA  maishani kutojamba mbele za wageni kwa kuwa labda hiyo ni USTAARABU,...
.... au  tu HESHIMA ingawa  bado LABDA ni kweli  YOTE HIYO ni  katika TU ni shughuli GANI tu,...

.....katika KUJAZA kuna  mpaka  kujazia MAISHANI ,...
.....utupu KUJAZWA.:-(



Utupu.....!:-(

Swali
  • Si unajua VITU labda sio kweli ndio TATUZI la kujazia kitu MAISHANI?
  • Si unajua utupu inawezekana kuwa ni UCHI ambao labda nao  kikukuna kipele labda nao kimafanikio YA NGONO  YENYE UZINZI BABU KUBWA  kivitendo kuna watakao ridhika kama utajaziwa au KUJAZWA  hata kama  ni KI- vifananavyo na UTOKO wa MBWA malaya mtaani?
Ndio,...
....labda hata SIASA kwa mwanasiasa  ni KIJAZIA utupu tu MAISHANI kwa mtu,...
.... ndio maana kuna wanasiasa Wazee ambao mchango wao ni ZIRO bado unaona hawataki kuacha ofisi kwa kuwa bila KUWA OFISINI watajisikia WATUPU.:-(







Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu Manu DIBANGO na YOUSSOU  N'dour waingilie kati ujinga na kubadili ndude kwa -Soul MAKOSSA




Canibus ,Youssou N'Dour na Wyclef Jean wadinye- How COME



Au TU Angelique Kidjo na Youssou N'dour walete beleshi-SET




Kuna baadhi ya picha na WADAU ambao hawakunitenga JANA ya JUZI ya leo yake....





































































Asanteni WADAU wote!
TUKO PAMOJA!

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 3:19 pm  

...Fuga ndevu basi!....mie nilidhani wewe ni "DEMU" dahh! mtihani kweli!

Simon Kitururu 3:42 pm  

@ Anony..:kOMENTI YAKO NI Matusi hayo lakini ingawa labda ni KISTAARABU.

Kwa hiyo unataka kusema mimi ni mzuri KISICHANA hivyo wakati watu huniita RASTA na nijiteteacho matra nyingi NI kwamba mie sio RASTA?

Weka jina LAKO basi siku nyingine ukiwa na NYEGE ya KUKOMENTI kwenye BLOGI ,....


....kwa kuwa NYOKO saa nyingine huwa pana saa nyingine ukijua ni nani atukanake NYOKO ksma tu KUMAMAYE!:-(


AU?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP