Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda ni KWELI kuwa MAFANIKIO ya TAALUMA ya MHESHIMIWA ya KUJIBARAGUZA baada ya KUJAMBA kwa bahati mbaya MBELE ZA WATU,....

>> Friday, November 12, 2010

..... hutegemea na JUHUDI za  HAO watu wengine walioshuhudia TUKIO ADILIFU HILO kujibaraguza pia kama vile HAWAKUSTUKIA  kuwa MHESHIMIWA kaachia USHUZI!:-(






Swali:
  • Si unajua kuna uwezekano hata HESHIMA za MHESHIMIWA labda hutegemea tafsiri  za AWAHESHIMUO Mheshimiwa katika utambuzi wa afanyacho MHESHIMIWA ni HESHIMA?



Ndio,...
.....NI HILO tu na NI WAZO TU HILI Mheshimiwa!:-(


Hebu tuhame topiki na kwenda KENYA kufundwa na Gertrude Mungai katika -Modern Sexy Woman



Au tu ngojea Gertrude Mungai aendelee...

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP