Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wiki hii MWALIMU ni Bloga - Nkwazi Nkuzi MHANGO katika kitabu chake cha SAA YA UKOMBOZI

>> Wednesday, November 10, 2010

Kwa muda nimekuwa nafuatilia kazi za Bloga N.N. Mhango  au kama wengine wamuitavyo MPAYUKAJI.....


......ambaye blogu yake hujulikana kama FREE THINKING UNABIII!

Pichani ni :   Mkuu N.N .MHANGO


Nayo furaha  ya kukiri kuwa wiki hii ni KITABU chake kiitwacho :
SAA YA UKOMBOZI ,...
...ndicho kinipacho changamoto mwanana kiafya ya akili.


Kimechapishwa na :TANZANIA EDUCATIONAL PUBLISHERS LTD.
ISBN :  978 9987 97 039 8

Nakushauri kitafute kama ni mpenda CHANGAMOTO!

Picha za nyolinyoli:



NASHAURI PIA jaribu kuwasapoti WATUNZI wa VITABU wa TANZANIA kwa kuwa nadhani WANAHITAJIKA sana tu TANZANIA hata kuliko BIA!:-(


Usisahau kumpitia NN MHANGO  kijiweni kwake HAPA



Tukiachana na hilo ,...
.... labda hebu tena Scion ``SASHAY´´ Success aingilie kati na-PAIN a BACK




Au tu tena zaidi Scion ``SASHAY´´ Success aendelee na-Petty Petty Murderer



Au tu Scion ``SASHAY´´ Success amalize tu kwa -Gunshot Dance

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:05 pm  

Ahsante kwa hili Mtakatifu nadhani nitakitafuta kwani ni mpenda CHANGAMOTO mie ...

malkiory 5:53 pm  

Mhango, I adore and believe in your brain, your intelligence and true spirit of Nationalism and patriotrism.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP