Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika KULALANA na kama kuna ALALIWAYE!:-(

>> Sunday, February 20, 2011

Kama kunaatakaye KULALIA  mtu,...
.... basi kumbuka inabidi kuwe na atakaye KULALIWA!:-(

Na sababu nyingi zifanyazo kuna ALALIWAYE mtu,...
.... ni kuwa labda kuna ukweli katika BINADAMU na YAKIBINADAMU huwa kuna wakubalio kwa hiari yao tu KULALIWA!:-(



Swali:
  • Unabisha?

Ndio,...
...kama unataka KULALIA mtu,...
....na yeye HATAKI kulaliwa na MTU,...
... hapo kuna weza kuzua tatizo katika itifaki nzima ya KULALANA!:-(

Ndio,...
... kwa kuwa kuna wenye hamu tu za vitu vingine ambavyo staili zake zitahitaji WALALIE mtu,...
...bado labda si lazima ALALIWE mtu,...
.... kwa kuwa bado utamu wa siagi waweza kugidwa bila ALALIWAYE na AMLALIAYE mtu ingawa  bado kitendo kikawa na jina lilelile KULALANA.:-(





Swali:
  • SI tamu ya elimu ni ileile ya KUJUA - hata kama staili ya KUELIMIKA kwa wengine wanafikiri ni mpaka waende CHUO kikuu ambako wanafikiri ndio kwenye KUJUA?
  • Si staili  huwa zinapumbaza watu na kusababisha watu kusahau kuwa sio STAILI  YA KUKUNA KIPELE ndio muhimu kama cha muhimu ni tu KIPELE kuacha kuwasha na kipele kuacha kuwasha haihitaji tu mtu akune KIPELE??
  • Umeshawahi kuwa na hamu ya KUMLALIA mtu huku ukionjacho hakiitaji watu walaliane ili ajisikie maumivu  ya MAUNGO mtu?

SAMAHANI,...
.... ni wazo tu hili MHESHIMIWA,...
...na wala usikonde!:-(







Hebu Michael ROSE abadili wazo na akumbushie-WHO is coming to DINNER


Michael Rose aendelee kuzungumzia matatizo niyapatayo kutoka kwa mtoto mzuri katika-SHINE eye GIRL




Au tu Mykal Rose adinye pia tu kwa wimbo wa enzi zake wakati yuko kwenye bendi BLACK UHURU kwa kidude-Puff she PUFF



 Mykal Rose akune pia kwa -Too short TEMPER





Halafu hata sijui kwanini mimi bado namsikiliza katika  hii

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:56 pm  

wazo la leo!! Kaazi kwelikweli. ni wazo la kufundisha lakini.:-)

Mzee wa Changamoto 6:42 pm  

Duh!!!!!!!!!!

Goodman Manyanya Phiri 8:22 pm  

Mfumo wa elimu tunaofuata siku hizi Mfalme na Mwanzilishi wa kabila la Wazulu Afrika Kusini (Shaka Zulu 1787-1828) hakujuwa wala kuupitia.

Hata hivyo, sisi 'tunaotaka haki zaMswahili zimrudie kama enzi za kale' (US SEEKERS OF THE AGE-OLD PAN-AFRICANISM) tunamhesabu yeye kama PAN-AFRICANIST wa kwanza, na sio kama vile waKoloni walivyomchora kama katili wa kupindukia.


Kuhusu nani anakubali kulaliwa na nani hiyo siyo tatizo: Lazima wote wawili mpate n**g*. Hiyo hampati kama hampendani. Na kama mmoja hampendi PARTNER wake yule basi haiwezekani mlale (labda kama asiekuwa na upendo ametumia vidonge, au amevuta bangi au amevutiwa na nguvu za pesa au mamlaka za yule mwingine).

Hakika: POWER IS AN APHRODISIAC.

Simon Kitururu 7:28 am  

@Wote: Mmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP