Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati labda namfikiria MUNGU kibinadamu!:-(

>> Monday, February 28, 2011

Eee BWANA eeeh!







Huyu mdude  mambo zake,...
..... weee acha tu!




Swali:
  • Kwani hujawahi kukwazika na kazi za MUNGU hasa kama moja wapo  ni kutoingilia wafapo maswaiba wako?

  • SI unakumbbuka nawaza tu hapa kabla hujachojoa UKOSOAJI hata kama kwa swali hili unafikiri najihami kwa kuwa kuna neno MUNGU na huna uhakika na jinsi gani nimuogopavyo MUNGU kama wewe?


Mie ngojea niendelee nielewayo ZAIDI  ambayo leo kizaidi anisaidiaye ni FELA KUTI ambaye ngojea aanzishe tena raundi nyingine kwa-Army Arrangement


Aendelee kwa -U BE thief




AFELA KUTI amalizie tu kwa -Teacher Don't teach Me No Nonsense



Msalimie shemeji basi kama kwangu kutamka hilo inakusaidia kubadili jazba ya ulicho fikiria mwanzo wa post hii!:-(

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:57 pm  

nanukuu "Swali:

Kwani hujawahi kukwazika na kazi za MUNGU hasa kama moja wapo ni kutoingilia wafapo maswaiba wako?"
Na kwanini ukwazike na kazi za Mungu?

Simon Kitururu 2:03 pm  

@Nguli Yasinta: Yani sijui a.k.a sina jibu kwa hilo!

Si unajua kama ningekuwa na jibu hilo post hii isingekuwepo sasa hivi kwenye blogu?

Ina maana wewe unaelewa kazi zote za MUNGU kwa hata jicho na sikio la KIBINADAMU na hata siku moja hakuna kidaiwacho ni kazi za MUNGU kama vile kufiwa na bonge la MTU ambaye kwa mfano mimi nimesikia tu leo rafiki yangu ambaye yani ni bonge la mtu ambaye ukiniuliza mimi labda sifai hata kumshika mkono kwa jinsi alivyo bonge la mtu ambaye hajaji mtu na kila wakati ni mtu wa watu halafu hukwaziki kwaninni ni yeye na sio MIMI ambaye ningekufa LEO wakati aliye sanbabisha hii posti ni rafiki yangu ambaye kafa jana ?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 3:36 pm  

waacheni wafu wazike wafu wao, usikwazike!

Simon Kitururu 8:51 pm  

@Komandoo Kamala : Yani umetonesha kweli kitu fulani kinitiacho udhaifu !:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP