Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama unataka kuelewa MSHAHARA wa WALIMU msikilize Taylor Mali katika - "What Teachers Make"

>> Monday, March 28, 2011

Nahusudu SHAIRI hili la TAYLOR MALI ,...
.... ambalo nafikiri linadaka maswala ya fanyayo Prof. Mbele , Mwalimu Nyerere, Mwalimu Kheri Kitururu,  Prof. Matondo na Mtakatifu N.N. MHANGO  ...

....bila kumsahau akaribiaye kufikia uprofesa   MALKIORY .W. MATIYA  enzi zake  za KUTICHI na,...
...na WALIMU WENGINE wote WENGI  niwaheshimuo ,...
...ni walimu  na pia kuendelea  kufanya kazi muhimu HII  ya kufunndisha ya UALIMU ,...


....HEBU  tudake tu mpekecho wake ki MADUNGURUDU .....


5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

malkiory 3:19 pm  

Kitururu: unaonaje walimu hawa wakishikamana kwa pamoja chini ya uenyekiti wako kuanzisha shule ya demonstration kule nyumbani tz, shule ambayo itakuwa free from politics!

Rachel Siwa 6:25 pm  

kaka Malkiory itakuwa shule bomba na ya kujivunia!!!!!!!!

malkiory 11:25 am  

Rachel: Unajua elimu yetu ya Tanzania inakosa dira na mwelekeo kwasababu ya kuingiliwa na wanasiasa. Wanaanzisha shule za kata kama utitiri bila kujali vitendea na vitendewa kazi. Mitaala yenye haiendani na wakati.

Rachel Siwa 7:44 pm  

Nikweli kaka Malkiory: na hizo shule za kata akienda kuweka jiwe la msingi au kufungua basi,harudi tena hapo.Na hizo shule watoto wao hawasomi kaka yangu!!.

Simon Kitururu 1:57 pm  

@Mkuu M.W.M: Itakuwa powa sana!

Ila tatizo inasemekana ni vigumu kuachanisha watu na Politics. Kama isemekanavyo huwezi kuachanisha pia shule zimilikiwazo na dini na UDINI!:-(

...ingawa kama kwenye comment uliyomjibu Rachel -nahisi shule zetu BONGO siasa imeingilia mpaka imezidi yani.
Na inajulikana too much of anything is not a good thing.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP