Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

The one and only -JOHN KITIME!

>> Monday, March 21, 2011

Kuna dogodogo wa engo za BONGO FLEVA na hata za SINDIMBA  wasahauo kuna MTUZ kimiziki kama JOHN KITIME ,...

... ndio waliowahi mpaka kupata GRAMMY katika wanamuziki wa TANZANIA,....

GRAMMY kwa MFAFANUO kiduchu  ambayo JOHN KITIME kashawahi kupata kwa kutambublika KIMATAIFA kwa UMAHIRI -kwa kibena ni:

A Grammy Award (originally called Gramophone Award) — or Grammy — is an accolade by the National Academy of Recording Arts and Sciences of the United States to recognize outstanding achievement in the music industry. The annual awards ceremony features performances by prominent artists, and some of the awards of more popular interest are presented in a widely viewed televised ceremony. It is the music equivalent to the Emmy Awards for television, and the Academy Awards for film.

The first Grammy Awards ceremony was held on May 4, 1959, to honor musical accomplishments by performers for the year 1958. The most recent ceremony, the 53rd Grammy Awards, was held on February 13, 2011, at the Staples Center in Los Angeles.




Mtembelee ujifunze miziki ya TANZANIA ,...
... HAPA kwa zamani ,...
.... au hata HUKU  kupya kiduchu kama mdadisi.



Hebu Anania Ngoliga ambaye ni NGULI MWINGINE mwenye kidude Grammy kutoka TZ aka BONGO NYOSO  atekenye NENO na kifaa,....




ANANIA adinye zaidi nanihii chini kidogo karibu kabisa na nanihii kwa....



Au tu John KITIME aturudishe kwenye NJENJE ambako anatekenya maswala kwa GITAA na SAUTI katika bendi ya THE KILIMANJARO BAND kama kawa ashambulie jukwaa kwa-Masafa MAREFU




Sijui kwanini ila ngojea tu King Kiki  arudie tu naye-MASANTULA

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 10:48 am  

Kweli mkuu, nahisi kuna uwalakini wakutowakumbuka hawa `wasomi wa mziki'...nashindwa kujua kwanini hata hizi award haziwagusi watu kama hawa, au ndio zama zao zimekwisha!...nawaza tu mkuu!

Simon Kitururu 11:43 am  

@M3: Ila John Kitime kashapata hii ndude ila ni WABONGO ambao hawastukii vitu hivi au watu kama hawa mahiri au tu kama akina Dr Hukwe Zawose ambaye mpaka anafariki kazi zake hazijulikani sana na wengi Tanzania kama zijulikanavyo nje na wasio WATANZANIA .

Kwa kielelezo:
Yani picha ya ALI KIBA bila shati inajulikana na WABONGO kuliko kazi za miaka za kwa mfano Dr Hukwe Zawose!

Nahisi kuna kizazi kitatucheka sana hapo baadaye katika kufikiria ni nini tulikuwa tunakipa KIPAUMBELE jambo lifanyalo Profesa Lipumba aonekane fala na ujuaji wake na Dr KIKWETE aonekane bomba kwa kuwa HENDISAMU.

chib 1:27 pm  

Mfano wa Kikwete na Lipumba :-)

Yasinta Ngonyani 3:06 pm  

Umefanya vizuri kuwakumbuka wanamiziki hawa kwani huu ni utamadun i wetu. Tusipoutangaza basi utakufa na hivi unazidi kudidimia----

Rachel Siwa 9:15 pm  

Napigia mstari kaka!vyakale ni dhahabu!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP