Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Si unakumbuka MWALIMU wa NANIHII labda naye ana MWALIMU?:-(

>> Thursday, March 31, 2011

Ndio ,...

... pamoja na kuwa  KUNA wajifunzao KUDOKOA MBOGA WENYEWE  bila kufundishwa na MTU,...
....au tu  KUNA wale warekebishao mpaka  JINSI YA  KUSALI au tu STAILI ya kufanya MATUSI    ili iwe  sio MPAPASO    kwa mafanikio kwa kuhangaikia hilo WAO WENYEWE,...


.... na  kwa kurekebisha STAILI  kwa KUJIFUNZA wao wenyewe kwa hata  kwa KURUDIARUDIA mpaka  kitendo HICHO  kwa BINADAMU WENGINE washuhudiao kuwa lijamaa mpaka kwa kuuza MAAANDAZI linafanikiwa  na kwa hilo lina cha   KUADIMAYWA kama wale  jinsi idaiwavyo  WAMEJIFUNZA WENYEWE,....
.... labda BADO ukweli uko palepale  kuwa MENGI ,...
..... watu hujifunza kutoka kwa WENGINE,...
.... na mengi wafundishayo WALIMU wa KITU ,...
... hayo walijifunza kutoka kwa MWALIMU wao hata wasio muita au kustukia ni MWALIMU.:-(


Swali:
  • Unabisha?
  • Kwani unafikiri WALIMU wengi hata tukiruka wale waliofundisha MTU  kuvaa chupi huwa wanaitwa WALIMU?
  • Na siinasemekana asilimia kubwa ya MAISHA ya MTU - mtu huitumia kujifunza kitu hata kama hastukii anavyojifunza ?

Ndio,...
... labda MWALIMU ana MWALIMU.:-(

NI HILO TU na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu WAZIRI  wa UTAMADUNI  wa zamani wa BRAZIL yule  Gilberto Gil aanzishe upya kwa -Toda menina baiana




Au tu Gilberto Gil adinye tu na  -Aquele Abraço

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP