Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WANAWAKE eeh!

>> Tuesday, March 08, 2011

HONGERENI ,...
....kwa siku hii ya leo  ya WANAWAKE Duniani!





Swali la kizushi:
  •  Kwa hiyo kesho sio siku ya wanawake tena au?




PS:


Nimetumiwa hii iliyonikuna maeneo.----

Word Woman has MAN in it, Mrs has Mr. in it, Female has MALE in it, She has HE in it, Madam has ADAM in it.MEN always wanna be inside WOMEN!

It is your Day or Is it?! 

 

 

Aliyenitumia kaipata: http://mtesuka.blogspot.com/2011/03/joke-of-day.html


Deku na SIKILIZA UJUMBE basi nguli hata kama sina uhakika yatamkwayo yanamuhusu mpaka demu wangu wa kijijini aliye kijijini kwetu MATOMBO , MOROGORO niliye mdakia kisimani akichota maji ......katika-WE are EQUALS

11 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 6:28 pm  

Hongera kwa siku yenu hii maalufu wanawake wote Duniani. Simon siku zote ni siku za wanawake ila leo ni MAALUM.

Simon Kitururu 6:30 pm  

@Yansinta wa Ngonyani: Asante kwa shule!

Hongera kwako pia Mwanamama!

Yasinta Ngonyani 6:39 pm  

Oh! hamna tabu. Na pia nilisahau kusema pia hongera nanyi akina baba kwani bila ninyi sisi akima mama ubavu ingawa kuna wanaofanya kinyume!

Simon Kitururu 6:51 pm  

@Yasinta: Kwa niaba ya wanaume -Asante mtoto mzuri!

Yasinta Ngonyani 6:53 pm  

Karibu sana M. Simon:-)

EDNA 7:34 pm  

Asante Simon,Ila kila siku ni siku yetu isipokuwa leo ni siku maalumu.Kama ilivyo siku ya wafanyakazi duniani haimaainishi siku inayofuata hawatafanya kazi. Najua unajua ila unatuchokoza tu hapa.

Simon Kitururu 7:38 pm  

@Edna: Samahani kwa uchokozi!:-)

EDNA 7:51 pm  

Ok,Umesamehewa..

Simon Kitururu 11:42 pm  

@Edna: Asante mtu wangu!

Rachel Siwa 12:47 am  

Asante @kaka Ktururu kwa kutukumbuka katika Siku hii KUU!!Kila Siku Wanawake tupo leo ni maalumu!!lakini sina hakika kama yule bibi yangu anaijua!!

Hongera nanyie pia kwani duniani tunahitajiana ndiyo mambo yawe Sawaswa!!!!!!!.

Simon Kitururu 1:22 am  

@ Rachel:Tuko Pamoja!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP