Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika JICHO LA anayebakwa!

>> Monday, April 25, 2011

Inawezekana wakati huo anabakwa moja ya asichokiona NI huko KUBAKWA,...

.... ingawa maumivu YAMVURUGO WA SEHEMU ZA SIRI anasikia!


Na visikilizwavyo labda KWA JICHO  hata kisaikolojia  vyote huwa havionekani hata kama wakati vinabakwa,...
.....kitu kifanyacho kuna ushahidi wa KWELI  kuwa kuna kilichotendeka KWENYE SEHEMU ZA SIRI hata kama kwa JICHO hakikuonekana kikitendeka na kimebakia KISIMULIZI kwa wengine  ni TU cha kusikia!

Swali:
  • Hivi unafikiri ni mangapi ambayo JICHO halioni  kwa nyuma kwa kuwa tu MACHO  yako kwa mbele ya mtu wakati tukio limuhusulo mtu LAWEZA KUWA liko nyuma yake tu mtu ambako hakuna macho ila kuna bonge la tako?


Ndio,...
.... labda hata kwenye jicho la ambaye habakwi,....
.... labda kunayaliyomtokea ambayo JICHONI  wakati sio kipofu hayakuonekana!:-(




Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu Saul Williams katika kubadili wazo arudie-Gypsy GIRL



Au tu hebu Mah Kouyate arudie tu mdinyo - Folo

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 12:43 pm  

Jicho ni sehemu ya mwili inayotuwezesha kuona. Ni ogani inayotambua mwanga na kutuma habari zake kwa ubongo.

kuna mahali umetumia neno Ku-Bakwa:

BAKWA: ni wilaya katika Mkoa wa Farah , Afghanistan Idadi yake, ambayo ni kabisa Pashtun , ilikadiriwa 79,529 Novemba 2004.

Katikati ya wilaya ni Sultani Bakwa . Hiyo iko katika mwinuko wa mita 726. (Usicheke!!)

NILIKUWA NACHOKOZA WAZO ANZILISHI JIPYA.

Simon Kitururu 12:45 pm  

@Rasta Mcharia: DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP