Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kumbukumbu,...

>> Thursday, April 28, 2011

....ndio tulichonacho,...
...KIFANYACHO,...
....hata WEWE,....
.... ujisikie ni kweli ni WEWE!



Swali:
  • SI unakumbuka kuwa kama HUKUMBUKI labda WEWE na YULE tofauti zake kwako zinaweza kubumbuluka  akilini?
Ndio,...
.....kumbukumbu ni MUHIMU,....
.... ingawa KUSAHAU tusisahau mchango wake ambao unasaidia mpaka waliowa kufiwa na KULIA SANA msibani,...
...kusahau kitu na siku hizi hao ni fulu kuchekacheka kwa kuwa kunakitu kilichowaumiza WAMESAHAU!



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Eric WAINAINA atukumbushe- Dunia Ina Mambo

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 9:36 pm  

Umenena kaka Kitururu!!!!

Simon Kitururu 10:55 am  

@Da Rachel: Asante kwa kunipata! Na asante kwa kutochoka kunitembelea!

Unknown 2:14 pm  

Japo tulisimuliwa jinsi tulivyokuwa utotoni labda kujinyea hovyo na kujikojolea mara kwa mara, leo hii hakuna akumbukaye hilo labda kwa wakati maalum linapotokea jambo kubwa la kuleta mambo ya zamani akilini na kuchukuliwa kama ni wazo jipya sasa hivi kumbe unapostukia ni suala la zamani kiasi hicho.

Lakini tunapoteza kumbu kumbu za mambo meeeengi sana. Tanzania tulivyoanza na sasa tunapoendelea.

UMENIFANYA NIKUMBUKE HADI UMOJA WA WA MABLOGA.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP