Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama MHESHIMIWA hadharani AMEKUNYA bila kujisikia vibaya!:-(

>> Tuesday, April 26, 2011




Maishani ambako kuna mpaka vitu vizuri kama  KULA wa wapendao chakula ,....

......kunya ambako labda nako ni muhimu katika maisha ya BINADAMU,....
... kwa sababu fulanifulani huwa HAKUHESHIMIWI eti!:-(




Swali:
  • SI umestukia yafikiriwayo ni MAZURI  kwa BINADAMU hasa wajifikiriao ndio wenye tabia nzuri yawezavyo kufanywa kama vile YALE yasiyo mazuri kwa binadamu haohao KIFIKIRA kuonekana ni MABAYA wakati yawezekana hayo mabaya ndio siri ya hao WAHESHIMIWA WATU WAZURI wastukiavyo kitu kizuri?

Ndio ,...
.....MHESHIMIWA labda hadharani usinye,...
.... ingawa labda ni kweli siri ya kwa nini kama UNAHESHIMIWA usinye hadharani inaweza kuwa ni kwa sababu kuna jamaa siku moja ALIKUNYA hadharani aisee!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu Pat Shange abadili mkao kwa -Sweet mama



Yvonne Chaka Chaka atunishe kwa - Thank You Mr DJ

Au tu Yvonne Chaka Chaka aweke tu kigunzi kwenye tobo-I'm  in Love with the Dj

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 1:05 am  

Labda hamna kitu KIZURI maishani ya binadamu kama AIBU, kama vile kinyume cha ushawishi (DISINCENTIVE).

Usiniambie kwanini nilazima nipate ushindi maishani; niambie pia AIBU (DISINCENTIVE) nitakayeipata nikishindwa!

Simon Kitururu 1:20 am  

@Mkuu Manyanya Phiri: Nanukuu ``Labda hamna kitu KIZURI maishani ya binadamu kama AIBU, kama vile kinyume cha ushawishi (DISINCENTIVE).´´´- mwisho wa nukuu.

Umemaliza yani!:-(

Mwanasosholojia 3:13 am  

Ni akili zetu zinazo-define hii kuwa AIBU...na tunakubaliana pengine arbitrarily kui-define kama aibu na hata kuijengea kuta na sehemu ya kujifichia. Anayekwenda tofauti na hapo tunam-define kuwa AMEJIABISHA pamoja na kuwa tendo ni lile lile tofauti tu ni kwamba amelifanyia hadharani...dah!natamani kuendelea kuwaza na mengine!

o'Wambura Ng'wanambiti! 7:32 am  

Kila kitu ni tafsiri tu wakuu wangu kwani mwaweza kuwa mwadhani kitu kimetunisha bonge la dudu ilikuwezesha mshawasha kupata tiba kumbe tu ni mtu afurahia steji ya kuwa mwinyi a.k.a busha kwa kuwa tu alisikia ati wanawake wa pwani wanapenda lake joto kwa kuwa na busha :-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP