Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Profesa J. MBELE anatuletea Watanzania MATATIZO kinyoko yani!!

>> Sunday, April 24, 2011

Hiyo ni hoja iliyo mtoka MDAU ,...
....wakati anaendelea  kudai Prof. Mbele watoto wake mpaka wajukuu zake wanabahati kuwa na mtu huyo kwenye familia ambaye KITANZANIA mpaka ana blogu katika umri wake ni jambo ambalo sio la kawaida kwa kuwa Watanzania wenye umri fulani huwa fulu kukwepa tekinolojia hizi ,...
... ndio maaana labda kuna vijana wataendelea kuharibika kama wewe SImon Kitururu kwakuwa wenye hekima hawakufikii  pale ambapo wakisema  labda watasikilizwa.
:-(
Na sikumbishia!:-(

Na akaendelea kudai,...
....tatizo la Profesa MBELE ni kwamba anamekisensi sana mpaka nyoko yani!:-(

Ndio,...
....hiyo ni nukuu pia iliyoendelea na  ni mie NI chanzo tu cha topiki kisa namtembeletembelea sana huyu PROF.



Tahadhari : Posti nzima mie nimenukuu TU jamaa ambaye Profesa Mbele anadai kila akimsoma anamfanya aende kunywa pombe kwa kuhisi aongeleayo ni kama Prof. anamsuta vile!:-(

Hebu tu basi  Etana aingilie kati ili abadili wazo kwa -Mockingbird

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 10:26 am  

Na ili kuonesha kuwa Dhamira na msisitizo anaoutoa Prof Mbele kwa Mbele unafanyiwa kazi naongezea wazo lisilo Nyoko kwa kuonesha umuhimu wa kile anachosisitiza mara nyingi.

Je hapa ukipita si kwamba utakuwa umepotea njia za uswazi inayoingia sebuleni kwa mtu kumbe ndio hutumiwa na wakazi wa eneo hilo ili kufika makwao uswahilini unapotokea upande wa pili.

Basi kama MUNGU ametuletea "Profesa J. MBELE anayetuletea Watanzania MATATIZO kinyoko yani!!" matatizo mwisho wake huwa ni mafanikio BABAAKE.

Kama vipi ona ninavyosisitiza hapa: http://www.swahilitruth.com/

www.simon-kitururu.blogspot.com 10:52 am  

@RASTA Mcharia: Duh

o'Wambura Ng'wanambiti! 11:03 am  

Mcharia...utaua bendi :-(

Mt. Simoni, yaweza kuwa hoja japo zaonekana kinyoko zaweza kuwa za kishaknaku kinoma na utajastukia dili kumbe ulipaswa kuwa mshaknaku ili kupata ujumbe teh teh!

Simon Kitururu 12:42 pm  

@Kadinali CHacha: :-)

Yasinta Ngonyani 2:28 pm  

Kaazi kwelikweli...

ADELA KAVISHE 3:27 pm  

hahahahaha kazi ipo

Mwanasosholojia 4:21 pm  

Si vibaya nami nikaongezea kwa kusema Profesa ni hazina ya kinyoko sana!Mungu azidi kumpa pumzi na maarifa na nguvu ya kuyagawa maarifa hayo

Simon Kitururu 2:41 am  

@Wote: Mmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP