Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa ETI kunawadhaniao hakuna JINSI ya kuutafutia UTAMU jina JIPYA!

>> Friday, January 27, 2012

LAKINI,...
..... tokea enzi za kale LABDA,....
..... utamu ni uleule ila ni MAJINA tu unapewa MAPYA!

Swali

  • Si wajua CHACHU , chungu, tofauti ya utamu wa uke na kachumbari, tamu kama WAZO LA  ngono .... au tu tamutamu kama sukari -ilikuwepo tu tokea enzi na LABDA ni majina TU inapachikwa tu ili JUMA na ROZA waelewane wanaongelea PILIPILI au BAMIA kiutamu katika hoja za KITUMBUA?

Ndio,...
.....ni wazo tu hili NGULI!
Ijumaa na WIKIENDI NJEMA Bingwa!


Hebu La Chepuya waingilie kati kwa - Checo Acosta


UB40 wajaribu kupunguza spidi kwa kulalamikia ya PANYA FULANI katika -Rat in mi Kitchen
Halafu BUSTA a busti kwa kuzima katika -HATARI

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Swahili na Waswahili 9:52 pm  

Jee yapo? kama yapo ni yapi hayo?Ubarikiwe kaka wa mimi.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP