Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NI rahisi KUJENGEA MIPAKA uyajuayo kama tu UWAJUAO ingawa labda uhitajiyo ni yale USIYOJUA na wale USIOWAJUA!

>> Sunday, January 22, 2012

Na siye TUSIOFITI kwenye UYAJUAYO na UWAJUAO,...
.... labda  usipoangalia  waweza kufikiri kwenye MAISHA yako UNATURUKA.

Ila tusiofiti na YASIYOFITI kwenye ULIMWENGUWAKO,...
... yapo tu AISEE na labda tuna na YANAKUGUSA hata kiusivyotegemea,.....

....ingawa hutustukiii hata katika tukojoayo pembeni ya BARABARA hadharani.:-(

Swali:
  • SI unakumbuka YAKO na YA DUNIA YAKO labda bado nni nukta tu hata katika INSHA ya ULIMWENGU wako?


Ndio,...
... YAKO  hata tukiyajumlisha na YANGU YOTE,...
.... labda kihesabu bado sio YOTE!

Na ni wazo tu hili MKUU!

Hebu turudi ANGOLA ili David Zé aanzishe upya kipengele kwa - Mwangolé(O guerrilheiro)David Zé aongezee dozi kwa -Undenge Uami


'
Tuhame kidogo kwa msaada wa Stephen Marley katika kitekenyeo - Made In Africa

Halafu hebu Damian Marley na Nas wazime kwa kuchezea wimbo wa DAVID Zé katika -Friends


5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:56 am  

jumapili njema mtakatifu:-)

sam mbogo 2:18 pm  

Ndiyo maana watu husema adui wako/yako ni wewe mwenyewe. yawezekana unayo yawaza mtakatifu> kaka s.

Ester Ulaya 7:57 pm  

jumapili njema, asante kwa neno

Swahili na Waswahili 9:11 pm  

Ubarikiwe sana,J'pili njema kaka Simon mwana Kitururu!!!!!

SIMON KITURURU 6:52 am  

@Yasinta:Asante mtu wangu!
@Kaka Sam:Ndio hapoo!
@Dada Ester Ulaya:Asante na Karibu Sana!
@Dada Rachel:Asante na ubarikiwe wewe pia!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP