Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unafikiri WATANZANIA bado ni WABONGO miaka yote hii baada ya UHURU na BONGO zenyewe hazijafanya tuwazidi angalau KENYA angalau KIUCHUMI?

>> Friday, February 03, 2012

BONGOOOOO!

Na ukisikia tu jina hilo maarufu kwa WATANZANIA,...
.... wawezafikiri ni kweli UBONGO ni misingi katika kila wafanyalo WABONGO ni kistaili ya kutumia sana UBONGO

Swali la KICHOKOZI:
  • Na kama tunatumia BONGO sana sie WABONGO,....
......mbona BONGO zenyewe hata katika kuchagua VIONGOZI wetu kuna watakaodai na kutoa ushahidi labda BONGO hazifanyi kazi?

Ni wazo tu hili!


Hebu tena Jaziel Brothers warudie-Ngeke Ndiphinde



Au tu hebu Oliver Mtukudzi na Thomas Mapfumo warudie-Muchatuta






2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:53 am  

Hakika hili ni bonge la ujumbe ngoja nitumie Ubongo kufikiri kiundani.Ijumaa njema mtakatifu:-)

emuthree 5:09 pm  

Bongo itumikayo hapo, ni jinsi gani utaishi, maana unaamuaka huna kitu mfukoni, kwanini usimtembelee mjomba...siku imepita!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP