Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TMTV a.k.a TANZANIA MUSIC TELEVISION

>> Tuesday, March 06, 2012

WAPENDWA WATAZAMAJI WA TMTV,TUNAWAOMBA RADHI KWA MATATIZO YALIYOJITOKEZA HAPO AWALI.KWA SASA TMTV IPO FITI NA MAMBO YAMEKUWA NI MAZURI KWANI NYIMBO KIBAO MPYA ZIPO HEWANI.TAFADHALI MJULISHE NA MWEZIO UPATAPO UJUMBE HUU KWA BURUDANI ZAIDI.




BONYEZA HAPA KUINGIA KTK TV. http://www.tmtv.co.tz/


Tanzania Music Television (TMTV) ni TV ambayo unaweza kuiona Online na pia ktk DECODER . TMTV itazinduliwa hivi karibuni pindi maandalizi yatakapokuwa tayari. Kwasasa waweza kuendelea kuangalia Chanel hii bure kupitia computer yako kwa linki hii www.tmtv.co.tz.


Mauzo ya DECODER yataanza pindi decoder zitakapo kamilika.Ili watu waweze kuona TMTV kupitia TV zao za majumbani.



Vile vile ni TV ambayo inarushwa kwa teknonlojia mpya ambayo unaweza kuangalia TMTV kupitia, MOBILE ,GAMES Kama XBOX360,SMATPHONES, aina zote kama za mobile kama Nokia, Motorolla, Samsung, LG Zenye 3G n.k pia kupitia Android na Decoder TRU SATTELITE.



TMTV ni kwa ajili yetu sote, isitoshe ni ya kijanja na imelenga kutuburudisha kokote tulipo kupitia simu zetu na computer zetu. Ikiwa kama MTV chanel.



TMTV ni music chanel ambayo inaonyesha music ya kibongo mchanganyiko 24/7.

TMTV ina vipindi 10,

BENDI ZETU

SWAHILI HIP HOP

ZILIPENDWA

TAARABU

NYIMBO ZA ASILI

NYIMBO ZA DINI

SALAMU BOX

BONGO BOX

TMTV TOP 10

VIPAJI na

MUSIC NEWS.

Tusiogope kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano wa kutosha

Link www.tmtv.co.tz Downlod microsoft Silverlight itajitokeza ktk screen,kama haijafunguka yenyewe.

Email. info@tmtv.co.tz





SHUKRAN KWA USHIRIKIANO WAKO.

TMTV

UTAWALA.

http://www.tmtv.co.tz/

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP