Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

YASEMEKANA kujivunia UMASIKINI ni dawa pia ya kuvutia MASIKINI wajisikie vizuri KUMPIGIA kura wafikiriaye ni MASIKINI mwenzao!

>> Monday, April 09, 2012

Na majivuno ya TAJIRI kwa masikini,...
.... yanaweza kuwa ni CHANZO tu cha kutamanisha  watu KUIBA.:-(

Swali:
  • AU?

Ni angalizo tu hili KIAINA!:-(

Hebu Mr Vegas na Jovi Rockwell waingilie kati kwa -You're Gonna Need Me




Au tu SHABBA Ranks akatizie denge kwa-Muscle Grip



Halafu  tu Maxi Priest aingilie kati,...
.... na huyuhuyu SHABBA RANKS na kuzima kwa - House CALL

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:25 pm  

Ni bonge la angalizo hata kama la kiana....Ahsante kwa hilo!!

emuthree 3:06 pm  

Mkuu wakati mwingine kusema sizitaki mbichi hizi ukishindwa kuzifikia ndizi inatosha kuliko kukaa kimiya ....

Yasinta Ngonyani 8:08 pm  

ndiyo

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP