Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa labda ``MAADILI ndiyo KICHAA´´- wacha WAJANJA wajitafutie tu MKE au BWANA zaidi ya MMOJA kiMAADILI!!!

>> Sunday, May 20, 2012

Kabla sijaanzisha kubenjua TARALILA:

  • Unauhakika katika MAADILI kuna mwenye  MKE au MME mmoja .... bila kusahau KIPENZI hata kama ni KIKITU tu?:-( 




Yasemekana siri ya USAHIHI  wa kitu ni MAADILI,....
.... tena ambayo MTU mpaka JAMII hujifunza tu KIMAPOKEO.


Swali:
  • Lakini si ikumbukwe pia USAHIHI wa MAADILI nayo ni kitu-na sio tu USAHIHI wa KITU ndio MAADILI?
  • Si ndio maana kwa MAADILI kwa Rais OBAMA katika kitu  kama USENGE kwake ni SAHIHI hata kama  kwa MWINGINE amzimiaye RAIS OBAMA kwa MAADILI MENGINE - hayo ya OBAMA kutopinga UTOAJI MIMBA sio MAADILI?

Na kikubwa katika MENGI yaonekanayo ni SAHIHI au sio SAHIHI,...
...... labda tukumbuke NI za watu  TU za kitu TAFSIRI.:-(


Swali:
  • Si inawezekana LAKINNI ni KWELI usahihi wa MAADILI ya WATU ni TAFSIRI tu za MTU?


Na ndio,....
.... labda kitu SAHIHI bado ni SAHIHI tu hata kama kimaadili yako,....
......weye hicho kwako ni DHAMBI na UTOVU wa NIDHAMU hata kwa MUME kumfanyia mnyonyo wa kisicho adili kivyako  MKE WAKE  wa ndoa CHUMBANI kimaadiliyo binafsi ambayo kwao ni SWAFI KABISA.:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,....
.... na usishangae,....
.... katika JAMII hii yetu ya sikuhizi ya KINAFIKI,....
.... labda yaliyo SAHIHI ndiyo yaonewayo AIBU kisa kimaadili  ya JAMII hayo yamekaa UCHI na kwa hiyo ndiyo YAAIBU na kwa waungwana inabidi yafungiwe macho na MASIKIO,...
... au ikibidi MSTAARABU ajifanye hatambui kuwa YAPO katika JAMII yake kama sio mpaka kwenye FAMILIA YAKE!:-(



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!



 

Halafu  hebu GAHAFLA  turudi Africa KUSINI ili Abdullah Ibrahim aka Dollar Brand...
....  aingilie kati na kubadili mchezo kwa - Soweto - Sathima (part)


 

Dollar Brand aongezee-Mannenberg

 



Abdullah Ibrahim na Ekaya waongezee dozi kwa - The Mountain / Nisa / Mississippi

 




Huyu huyu Abdullah Ibrahim aongezee - Cape Town Flower


 


Ila tu tena hapa hapa KUSINI ya AFRIKA hebu Ringo Madlingozi azime kwa -Into Yami


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

ray njau 11:38 am  

Siasa a.k.a sihasa ni mfumo makini na mahiri kwa wanazuoni waliohitimu katika tasnia kutoa madokezo kwa jamii yao.Ukizamia kwenye tasnia hii uwe mwenye uwezo katika itikadi na muwezeshaji katika uenezi wa propoganda.Wewe ni binadamu na kujizuia kusikia kamwe huwezi lakini kunyamaza ni katika uwezo wako.Hakika siasa siyo uga wa kila kiumbe na daima zilongwa ni mbali kabisa na zitendwazo.Wainaimba kiswahili wanacheza kidachi.
Asalaam aleykum!!

Simon Kitururu 11:48 am  

Ndio hapooo!@Mkuu Ray Njau

Rundugai 2:49 pm  

Napita mawazoni...wanaimba kiswahili wanacheza kidachi duuh

Simon Kitururu 3:25 pm  

Karibu sana Ambiere!@Kikore Chediel

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP