tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post1228802140952048578..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: ``MARA YA PILI´´ katika UTAMU au KITENDO!Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-43157752854815695602011-02-19T21:20:33.284+02:002011-02-19T21:20:33.284+02:00Maisha yote ni marudio na mizunguko. Yapo marudio...Maisha yote ni marudio na mizunguko. Yapo marudio yenye ubwabwa ndio; lakini mengine ni mkate kabisa uliyewiva na kukomaa. Marudio mengine ni kero tupu, lakini mengine ni faida.

Kama wewe ni mwalimu; na wanafunzi wako wanairudia kazi mara kwa mara, basi unashindwa...

1. Kama siyo jinsi ulivyoandaa somo lako...

2. Itakuwa jinsi ulivyoshindwa kumwelewa mwanafunzi wako anamaanisha nini kwa jibu lake.

Kama nawe Mwalimu au Mkubwa fulani unao mamlaka wa kumfanya binadamu mwenzio arudie chochote kile, tafadhali mpe kazi/mtihani sambamba*?(PARALLEL*)...na asirudie shughuli ileile... kwani utakuwa unamtesa usipofanya mabadiliko kidogo!

Kwamasomo ya ubongo wanasema unakosea unapopitisha ujumbe kwa hiyohiyo njia moja katika fahamu, badala ya kujaribu njia zingine wakati kila binadamu inasemekana anazo njia (DENTRICAL CONNEXIONS) kama elfu kumi hivi kwelewa kitu kila kimoja.Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com