tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post1566028847923449400..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Labda afadhali hakuna VITABU vya jinsi ya kuwa MCHAWI TANZANIA kwa kuwa vingekuwepo ambaye angekuwa MCHAWI mzuri kikukubuhu KATIKA UCHAWI WA KITANZANIA asingekuwa ni MTANZANIA.:-(Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-22055932194954371712010-11-04T01:48:47.646+02:002010-11-04T01:48:47.646+02:00@Da Ney: Ndio hapooo!
@M3: Nilikuwa najaribu kuima...@Da Ney: Ndio hapooo!<br />@M3: Nilikuwa najaribu kuimajini wasafiri hao kwenye ungo ambao wanaogopa kuangaliana.:-)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-43948389155404290052010-11-03T12:31:54.281+02:002010-11-03T12:31:54.281+02:00Mhhh, na jana nilikua tangazo linasema `njia ya ku...Mhhh, na jana nilikua tangazo linasema `njia ya kupata utajiri, njia ya kurudisha nyota ya utajiri, na jinsi ya kumpata mpenzi...'<br /> Sasa wameanza kuweka matangazo, manake wateja hakuna!<br /> Mimi najiuliza kama mtu anaweza kusafiri kwa ungo usiku kwanini asiiboreshe hii ikatuondolea adha ya usafiri, au ni kwa vile nasikia wanasafiri wakiwa kama walivyozaliwa. Sio mbaya, mnachukua ungo mmoja,kila mmoja anaangalia sehemu nyingine, hakuna kuangaliana!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-14301615302421537582010-11-03T11:53:48.678+02:002010-11-03T11:53:48.678+02:00ha ha aaaaaaaa, imebidi nicheke tu maana unayowaza...ha ha aaaaaaaa, imebidi nicheke tu maana unayowaza ni kweli kabisa, Lakini najiuliza kwanini wachawi wengi ni masikini? kwani hawawezi kujichawia wakawa na mafanikio? au wakajichawia wakapata elimu ya darasani kwa njia ya uchawi? Au uchawi ni kwaajili tu ya kuwafanya wengine wawe wanateseka kwa njia moja au nyingine? mmhNeynoreply@blogger.com