tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post1992655790408784695..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Hebu tumsikilize tena NYERERE....Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-62423618835233163372010-09-20T10:29:32.572+03:002010-09-20T10:29:32.572+03:00Mimi wakati mwingine nawaza, kwanini siasa haipimw...Mimi wakati mwingine nawaza, kwanini siasa haipimwi kama sayansi, na mara nyingi midomo ndio yenye nuru kwenye siasa zaidi ya mikono ambayo ndio mtendaji mkuu?<br /> Labda kwa vile wengi wetu tunathamini mdomo kuliko mkono, hebu jiulize ukatwe mkono au mdomo utachagua nini? Ndivyo ilivyo kwenye siasa, mdomo una nuru kuliko mkono...<br /> Wengi wataimba, ukabila, udini unini hatuutaki, hebu jaribu kupekua moyo wake, kweli kauli yake ni dhahiri...utajitahidi tu, lakini mmmmh, `chetu kipo pale pale..' wenzetu wapo pale pale...' swali kwanini tukikwazika tutahitaji kikao cha dharura, tukatete pembeni...`umimi' na sisi inatekenya! <br /> labda ni hayo tu mkuuemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com