tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post2001913868073858403..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Kama MHESHIMIWA hadharani AMEKUNYA bila kujisikia vibaya!:-(Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-49221716815280198122011-04-26T07:32:38.519+03:002011-04-26T07:32:38.519+03:00Kila kitu ni tafsiri tu wakuu wangu kwani mwaweza ...Kila kitu ni tafsiri tu wakuu wangu kwani mwaweza kuwa mwadhani kitu kimetunisha bonge la dudu ilikuwezesha mshawasha kupata tiba kumbe tu ni mtu afurahia steji ya kuwa mwinyi a.k.a busha kwa kuwa tu alisikia ati wanawake wa pwani wanapenda lake joto kwa kuwa na busha :-(o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-59216433405571466122011-04-26T03:13:59.967+03:002011-04-26T03:13:59.967+03:00Ni akili zetu zinazo-define hii kuwa AIBU...na tun...Ni akili zetu zinazo-define hii kuwa AIBU...na tunakubaliana pengine arbitrarily kui-define kama aibu na hata kuijengea kuta na sehemu ya kujifichia. Anayekwenda tofauti na hapo tunam-define kuwa AMEJIABISHA pamoja na kuwa tendo ni lile lile tofauti tu ni kwamba amelifanyia hadharani...dah!natamani kuendelea kuwaza na mengine!Mwanasosholojiahttps://www.blogger.com/profile/11175747029636518855noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-89466465420377164192011-04-26T01:20:30.753+03:002011-04-26T01:20:30.753+03:00@Mkuu Manyanya Phiri: Nanukuu ``Labda hamna kitu K...@Mkuu Manyanya Phiri: Nanukuu ``Labda hamna kitu KIZURI maishani ya binadamu kama AIBU, kama vile kinyume cha ushawishi (DISINCENTIVE).ยดยดยด- mwisho wa nukuu.<br /><br />Umemaliza yani!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-46892695662143149002011-04-26T01:05:56.133+03:002011-04-26T01:05:56.133+03:00Labda hamna kitu KIZURI maishani ya binadamu kama ...Labda hamna kitu KIZURI maishani ya binadamu kama AIBU, kama vile kinyume cha ushawishi (DISINCENTIVE).<br /><br />Usiniambie kwanini nilazima nipate ushindi maishani; niambie pia AIBU (DISINCENTIVE) nitakayeipata nikishindwa!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com