tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post2877102623548269790..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Kama tukichunguza Waheshimiwa WAHAYA walikuwa wanafikiria NINI kilicholeta uvumbuzi muhimu wa KATELERO,...Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-42019205526474560622010-10-24T17:16:01.070+03:002010-10-24T17:16:01.070+03:00@Papaa Mubelwa: DUH!@Papaa Mubelwa: DUH!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-49284059776141440832010-10-23T20:09:21.382+03:002010-10-23T20:09:21.382+03:00Dada Yasinta aliamini ntachangia nami nafanya hivy...Dada Yasinta aliamini ntachangia nami nafanya hivyo, japo hakusema kipi angependa nichangie.

Hahahahaaaaaaaaaaaaa
KATEREROOOOOOOO.......Hiyo inabamba.
Sijui....
labda UJIULIZE kwanini "inashika"? lakini...
ukijiuliza sababu za wewe kuandika ulivyoandika na yule kusoma alivyosoma ndio mtajua kwanini watu wanapenda "kutererereshwa" na katerero.
MNGEANZA...
kwa kuuliza maana ya neno KATERERO ili kuweza kutambia neno hili lahusianishwa na nini? ACHILIA MBALI...
sehemu ama PAHALA paitwapo hivyo, lakini pia yaweza kuhusishwa na NENO.
kwa hiyo.....
ni pa kuanzia hapo.
HIVI...
kwanini watu wanaogopa Katerero? Ama wanaogopa kupenda? Ama wanapenda lakini wanaogopa? Kama ni mbaya kwanini "inabamba" na kama inabamba kwanini inaogopwa? Kwani ni kipi cha ajabu?
TATIZO ...
hapa ni kuwa watu wanakimbia kivuli chao. Hawapendi wapendacho kijulikane jhapo wanapenda kitendwe na asiyejua.
MMMMHHHHHHHHHHH!!!!!!!!!!!...
waHaya tumeonekana wazinzi kwa kufanya kile ambacho ninyi vijana na watoto wa siku hizi mwaenda funzwa na ma-therapist ili muokoe ndoa zenu. Sisi walijua mapema atiiiii.
NA JAPO...
twasemwa kwa namna nyingine, hii ilikuwa njia muafaka ya kutunza familia. Kuji-dedicate kwa yule umpendaye.
TATIZO...
ni kuwa waliokuwa dedicated walizidi uhalisia wa waliopendwa na hata wale wa "one touch" wakataka kung'ang'ania kuendelea "kuterererwa"
Ila hakuna mbaya katika hii. Ni sehemu ya ujuzi wa nini kifanyike kutunza ndoa.
NAAAAA...
ni kwa sababu hii, tulikuwa na low rate ya divorce, tulikuwa na familia zisizioenda "kuonja" nje na ndoa zikawa na ndoa (kabla mapenzi hayajageuzwa anasa na mkomoano)

KWA UFUPI...
ni kuwa maisha ya sasa yanaendeshwa kisengelenyuma na badala ya katerero kutumika kuterera wahusika, inawahusisha na wasiohusika na matokeo yake wanaohusishwa bila ONYO hawataki kuacha na kuamua kuweka dau zaidi na pande zote zanufaika ilhali wanaotenda kwa marudio ndio wenye kuonekana wanaharibu.

Gggggrrrrrrrr!

NSHAJIPOTEZA.

Wacha nirejee kwenye utenzi wa kutenda kile kilicho mada

TUONANE NEXT IJAYOMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-46957074484238676842010-10-23T20:09:17.101+03:002010-10-23T20:09:17.101+03:00This comment has been removed by the author.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-65337768701982497942010-10-22T20:56:04.855+03:002010-10-22T20:56:04.855+03:00@emu-three: Nanukuu ``Tanzania sifa yetu ni ipi?´´...@emu-three: Nanukuu ``Tanzania sifa yetu ni ipi?´´ -mwisho wa nukuu

Swali gumu MKUU,...
.... kwa maana katika kiboxi cha majibu kama:
-Nchi ya Amani
- Nchi ya Waoga
-Nchi ya wasiojua Kingereza
-Nchi yenye wasichana wazuri kushinda wa Kiafrika magharibi
-Nchi ya Udaku
-Nchi ya wapendanao
-Nchi masikini
-Nchi ya wakombozi wa Afrika
Nchi ya Wala rushwa
-.....,......nk

nashindwa kuchagua ni kiboxi kipi nikipige TICK.:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-68176103938129087852010-10-22T17:47:21.668+03:002010-10-22T17:47:21.668+03:00Kwa kifupi na urahisi zaidi nilichokuwa nakilenga ...Kwa kifupi na urahisi zaidi nilichokuwa nakilenga ni kujaribu ugusia kuwa kuna uwezekano kituchochote uhangaikacho nacho ukikitafutia staili maalumu ya kukishughulikia kama WAHAYA walivyogundua staili maalumu ya KATELERO unaweza kuongeza ujazo wa mafanikio,...
....na ukiwa mchakarikaji kama Wachaga au Wakikuyu kwa Afrika Mashariki unaweza kustukia labda huhitaji sana kuajiriwa ili mambo yawe BIEE hata kama msomi kama tu Wahindi wa Afrika Mashariki.

@Emu-Three: Kusema ukweli sijui Hii ndude kwa lugha fanisi ni Karelero au Katerero ila natumia neno Katelero kwa kuwa naamini kila mhusika anaweza kuelewa na maanisha nini na kikubwa zaidi kuna mdada wa Kihaya miaka ya nyuma aliyekuwa ananipa eneo la kujaribia hii ndude kikazi nyeti ambaye asili yake ni Kijiji cha Katerero huko Bukoba yeye alikuwa anaiita Katelero na ndio maana ninadhani labda sijakosea jina.
Ashakum si matusi!:-(

@Wote: Asanteni kwa kunisoma na kama hamkuwa waangalifu nadhani kuna kitu mmefikiria na ndio lililokuwa lengo la huu mpekechoSimon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-22014271222340983472010-10-22T16:44:50.662+03:002010-10-22T16:44:50.662+03:00duh!duh!o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-91264754322384307422010-10-22T16:35:43.267+03:002010-10-22T16:35:43.267+03:00hahahahahaha nimekubalihahahahahaha nimekubaliADELA KAVISHEhttps://www.blogger.com/profile/00937275849210256832noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-64863546184439026202010-10-22T15:35:52.493+03:002010-10-22T15:35:52.493+03:00Nafikiri mkuu kwa mtizamo wa watangulizi wa chapuo...Nafikiri mkuu kwa mtizamo wa watangulizi wa chapuo hili darasa limetoka kapa labda kilichodokolewa ni neno moja `katerero' sijui hata mimi nimeshindwa kulipatia `mtindo wake'ni katerero au ni katelero...
Lakini ni kweli kuwa kila kabila ukichunguza sana lina `kasifa kake' ka kulitambulisha..kiutani anyway!
Usa ni taifa kubwa lenyewe latambulika kwa `utajiri' Tanzania sifa yetu ni ipi? naona nitoke kwenye mada kidogo, siunajua tena mkuu tumetoka darasani kapa, shule uliyoitoa imebakiwa watu kuguna mmmmh, mumeelewa mmmh, nimesemaje ...umesema katerero...aisee mkuu wewe mkali wa kutekenya!
Ngoja nisome tena!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-50808254367044875592010-10-22T13:16:48.021+03:002010-10-22T13:16:48.021+03:00any tutorials/manuals?any tutorials/manuals?John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-80604988205314383512010-10-22T11:51:08.710+03:002010-10-22T11:51:08.710+03:00Kaazi kwelikweli! sina la kusema ila naamini Kamal...Kaazi kwelikweli! sina la kusema ila naamini Kamala na Mubelwa watachangia:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-36406058327460877422010-10-22T11:26:03.910+03:002010-10-22T11:26:03.910+03:00mmmmh! no commentmmmmh! no commentEDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.com