tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post3367841032404185463..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Ualimu wa MWANAFUNZI!!Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-25641465706414422622010-11-15T10:11:49.775+02:002010-11-15T10:11:49.775+02:00@Mwalimu Matondo:Umenena,...
....ingawa sikulenga ...@Mwalimu Matondo:Umenena,...
....ingawa sikulenga nyie WALIMU!

Lakini si umestukia kuwa labda NI KWELI kuna afundishaye kupika UGALI afikiriaye anajua yote yahusuyo UJI?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-66198087315373929292010-11-15T06:47:20.236+02:002010-11-15T06:47:20.236+02:00Mtakatifu: Leo unatupiga vijembe walimu nini?
Ni ...Mtakatifu: Leo unatupiga vijembe walimu nini?

Ni kweli. Katika kufundisha kuna kujifunza kwingi pia na kama alivyowahi kusema mwanafalsafa mmoja "tunafundisha kile tunachotaka kujifunza tena na tena mpaka tuhakikishe kwamba tukifundishacho na tujifunzacho ni kitu kile kile!"

Bila kuzingatia busara hii hapa Marekani darasani kwaweza waka moto hasa kama unafundisha (au niseme unafundishwa na) wanafunzi wa shahada ya uzamifu!Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.com