tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post3585743104487475271..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Subiria ANDAZI!Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-61664218742682544002012-10-16T08:27:57.188+03:002012-10-16T08:27:57.188+03:00Ambiere, naona ulikuwa machimbo nini,haya wasalimi...Ambiere, naona ulikuwa machimbo nini,haya wasalimiwa na wamilimani wote, TUPO PAMOJAemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-64921665973686098062012-10-15T12:25:18.902+03:002012-10-15T12:25:18.902+03:00wakati mwingine waweza hata kunawa ila ubwabwa/wal...wakati mwingine waweza hata kunawa ila ubwabwa/wali kuula ikawa kazi.Andazi/kitumbuwa kweli husubiriwa sanaa tu ila katika kusubiri kwake kuna mambo mengi tu yanapita mfano,labda unga bado hauja lainika vizuri,au hamila haija umuka!!? kwa kitumbua labda mchele haukusagwa vizuri au mchele bado unachuya,ilimradi subiri subiri ifike.ukipewa andazi/kitumbua kunajambo hujitokeza na kuwa kusubiri kooooote andazi lenyewe lina mafuta mengi? . asante mtakatifu kwa hakika andazi/kitumbua nitamu ila usisubiri sana likapowa linatakiwa kuliwa likiwa bado la motomoto. kaka s.sam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-27936056756555610932012-10-15T11:23:34.137+03:002012-10-15T11:23:34.137+03:00Umekuwa kama mwana mpotevu kadoda..nashukuru kama ...Umekuwa kama mwana mpotevu kadoda..nashukuru kama kweli upo.."subiria andazi"..mmmhhh kaaazi kwelikweliYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com