tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post4079096675634424408..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Nilipofika TANZANIA nikakuta RAFIKI yangu JESTER niliyewahi KUKUONYESHA PICHA ZAKE kafariki DUNIA,...Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-23399361415274298642011-04-08T11:40:12.808+03:002011-04-08T11:40:12.808+03:00@M3: Mimi nafikiri kuna mambo mengine mengi yafany...@M3: Mimi nafikiri kuna mambo mengine mengi yafanyayo ionekana Wamagharibi wanapenda sana WANYAMA. Natumia neno Wamagharibi kwa kuwa nimestukia jambo hili lipo sana Magharibi kwenye watu wenye ahueni kiuchumi kwa kuwa kwa wazungu wa mashariki ambao wengi wao pia wana kibano kiuchumi jambo hili halipo sana.

Kwa hiyo naamini jambo kama tu uhakika wa maisha unaweza kufungua zaidi uwanja wa Binadamu kuona umuhimu wa viumbe vingine.

Fikiria kwenye nchi kama Finland yenye huduma ya afya za mbwa na paka ki wingi wa madaktari ulio sawa na wa BINADAMU usingepewa umuhimu kihivyo kama matatizo ya huduma ya afya za watu zingeadhiriwa angalau kibajeti za nchi kama paka na mbwa wangetengewa fungu la pesa za huduma.

Nachojaribu kusema ni kuwa. Tanzania wakati shilingi mia tano tu za kikombe cha BABU ni shida , hapo huwezi kutegemea huyo afukuziaye shilingi mia tano kwa ajili yake kwa shida awaze sana afya za njiwa zikoje mkoani Kigoma.

Nanukuu``'Lakini mwafrika asivyopenda wanyama, hata mbwa, au paka wanamuogopa mwafrika, ndio maana akionekana kwenye nyumba ya mtu , mbwa anabweka kwa hasira...lakini akionekana mzungu mbwa anaguna...' ยดยด-mwisho wa nukuu. Hili si kweli na ndio maana Mbwa kibao wakali kwa watu utakuta wapo tu pia kwa hata polisi wa ulaya na hasa kwa ajili ya kukabili wazungu haohao.

Na kihistori hasa ni juzijuzi tu katika VICTORIA time ndiyo hata ulaya kuwa na peti dogs na maswala ya kuwa na mambwa koko kwa ajili ya kuwa na mbwa tu ndani ya nyumba hata katika nchi kama Uingereza ndio ilianza kuwa kawaida.Kabla ya hapo ni kama tu ilivyo Afrika , Mbwa alikuwa ni wa ulinzi, kuwindia au tu shughuli nyingine kama vile kusaidia katika uchungaji wa mifugo na kadhalika.

Na ni kweli inasikitisha jinsi hasa Afrika tunavyouana kama KUKU. Lakini,... chunguza historia ya sehemu yoyote duniani, kuanzia UCHINA, Japani ULAYA mpaka MAREKANI utastukia sio muda mrefu walikuwa wanachinjana wao kwa wao kwa sana tu na labda hata kuszidi ilivyo sasa hivi Afrika.:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-19362187456789870732011-04-08T08:17:07.071+03:002011-04-08T08:17:07.071+03:00Duh, mkuu nilipoanza kusoma hii stori ni kaanza kh...Duh, mkuu nilipoanza kusoma hii stori ni kaanza khamanika, yaani ukimpenda mama mtu unaua watoto wake...nikasema ni wapi huko, oooh, kumbe ni porini, kwa mfalume Simba.
I like it..SHUKURANI MKUU. Kwani niliposoma hii stori nikakumbuka mjadala uliokuwepo ndani ya daladala, Jamaa walikuwa wakiwaelezea Wazungu jinsi wanavyopenda wanyama, wakasema ndio maana mzungu anaweza kufuga simba, chui nk, na asizurike na huyo mnyama.
'Lakini mwafrika asivyopenda wanyama, hata mbwa, au paka wanamuogopa mwafrika, ndio maana akionekana kwenye nyumba ya mtu , mbwa anabweka kwa hasira...lakini akionekana mzungu mbwa anaguna...'
Mimi nilitabasamu na kutafakari sana huo usemi, ...`kuwa eti waafrika hatupendi wanyama, ndio maana na wao hawatupendi...'je kuna ukweli ndani yake, sijui!...angalia watu tunavyouana kama kuku, (kumbuka sote ni wanyama)emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com