tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post4550055381967151087..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: SHENZI mimi au YULE!!Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-5044998320645858682008-06-27T02:56:00.000+03:002008-06-27T02:56:00.000+03:00@Egdio:Nafikiri usafiri wa aina hii utaingia hivi ...@Egdio:Nafikiri usafiri wa aina hii utaingia hivi karibu bongo.Kuhusu matusi najiuliza sana saikolojia ya binadamu ina kemikali zake zimfanyazo mmoja achukie na wingine asinune.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-18096915103639970122008-06-25T21:37:00.000+03:002008-06-25T21:37:00.000+03:00Mimi huwa nashangaa sana mtu anapotukanwa na akaka...Mimi huwa nashangaa sana mtu anapotukanwa na akakasirika,mimi hata mtu aje na kilo 800 za matusi huwa sikasiriki.
Kuna kipindi fulani mdada mmoja sera zake na mimi hazikuelewana,basi ili amalize hasira zake kwa matusi.
Ni insha za matusi kila siku na kila akiniona anajua nitakasika mimi wala.

Kule kwetu uswahilini matusi ni kitu cha kawaida sana.Si mtoto wa mkubwa utasikia K******* zako huyu atajibu basi tu ni kitu cha kawaida kwao.

Hiyo picha ya 3 mpaka 5 usafiri poa hivi bongo usafiri wa namna hiyo si unalipa? udosini ndio kwao hiyoEgidio Ndabagoyehttps://www.blogger.com/profile/09536451761854031212noreply@blogger.com