tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post5275333426584301272..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: BINADAMU HARIDHIKI - na akifanikisha HIKI ataanzisha KILE!Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-56032116990777177332011-02-16T18:25:42.122+02:002011-02-16T18:25:42.122+02:00@Da Rachel: Ni kweli mtoto anasimama dede ndio ate...@Da Rachel: Ni kweli mtoto anasimama dede ndio atembee!

Lakini sijui kwanini nahisi Mtoto akisha tembea labda baada ya kuridhika anajua kutembea ndipo hapo huanzisha kujifunza kutembea kwa Maringo ili mradi ni kitu kingine kaanza ili kujazia tu kitu .

Na nakubali pia kuna roho mbaya,wivu na tamaa,..
... ingawa labda navyo ni vitu wajaziavyo tu watu UTUPU fulani MAISHANI,...
... kwa kuwa naamini kwa aliye BIZE ,...
.... hata muda wa kugundua kutendea watu vitu kiroho mbaya, KUWA na WIVU au hata kugundua cha kuonea mtu tamaa unaweza kukosekana!

Na sijui kwanini NAENDELEA kuwaza DADA yangu!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-38527462416093069282011-02-16T18:17:47.614+02:002011-02-16T18:17:47.614+02:00Usiwaze @kaka Kituru hatua moja ndiyo mwanzo wa mw...Usiwaze @kaka Kituru hatua moja ndiyo mwanzo wa mwendo,hata mtoto anasimama dede ndiyo atembee!

lakini hiyo ya kuonja mke/mume wa mtu mmhhh huo wizi sasa!!

kunakutoridhika kwa maendeleo nakuna roho mbaya,wivu,tamaa!.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-33026373124500888712011-02-16T14:50:18.381+02:002011-02-16T14:50:18.381+02:00@Mkuu Goodman: Nomekusoma na umeniwazisha sana na ...@Mkuu Goodman: Nomekusoma na umeniwazisha sana na kipengele hiki cha maoni yako:

-``Kwa hiyo tunapoangalia suala hilo, Mkuu, tuwe waangalifu: Iko mizani ya kupimia ndoto (AMBITIONS) nyingi za mtu na hizo ndoto ni halali kabisa.

Heshima zote kwako, Mkuu (Na asante kwa suali lako la kuvutia). Hatuwezi lakini kutumia mizani hiyohiyo ya wachapakazi ili tupimie uchu na tamaa hizo za kijingajinga kama nilivyojitahidi kuvitaja hapo juu.ยดยด-Mwisho wa nukuuu.

Naendelea kuwaza!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-46762527903694918102011-02-16T14:24:26.914+02:002011-02-16T14:24:26.914+02:00Hapo umenena kabisa!
Na ndio maana yapo matatizo ...Hapo umenena kabisa!

Na ndio maana yapo matatizo makubwa kufikiria "Mbinguni" kama "sehemu fulani katika Jiografia".

Mimi, Mkuu, nafikiri "Mbinguni" ni hali tu yenye kuridhika kiroho mtu akiwa hai au akiwa amekwishakufa maana yake roho ya mtu sidhani inakufa.

Kuja basi katika swali lako barabara.

Nimekuwa mwandishi tangu utotoni, bado naridhika na nafurahia kwandika hadi leo hii na ndio maana nimejiunga na Blogi ya Mkuu Kitururu.

Wakati huohuo ningali mtoto, nilikuwa pia mwimbaji mzuri wa kwaya shuleni, kanisani kotekote.

Lakini sauti yangu iliharibika hapo baadaye nilipofika umri wa miaka 15 na nikaacha kuimba. Shangwe na makofi kupigiwa na wasichana kwa wavulana vikaadimika.

Nafikiri nilipojiunga na jeshi mwaka huohuo ilikuwa basi ndiyo namna yangu ya kuokoa mishangilio kwangu kama zamani. Mpaka leo sijuti hata kamwe tendo lakuingia jeshini, pamoja na mateso yake yote kwa maisha yangu binafsi.

Pamoja na hayo yote niliyekuwa nayakimbiza na kuyafanikisha maishani mwangu, nilikuwa (muda mzima wa miaka 35)bado nakumbuka enzi za utoto wangu nilipokuwa katika mambo ya muziki.

Kwahiyo, wakati watu hapo juzi walipokuwa wanafurahia VALENTINE'S DAY mke wangu yeye alinivumilia kupata mafunzo yangu ya kwanza kupiga GUITAR.

Siku iliyefuata nilijinunulia 'WASHBURN' yangu binafsi ya kwanza (mwaka juzi nilimnunulia Binti Phiri[17] na kumpelekea huko Iringa).

Lakini leo, kama ninavyoandika hapa: najisikia niko mbinguni kabisa kwani mwalimu wangu wa GUITAR keshaichunguza hiyo 'WASHBURN' na anasema sikupoteza kabisa hiyo laki moja na nusu (kwa kiwango cha Tsh.)

Bwana Kitururu, kama huko kujiona au kuota mzee kama mimi[50] nitakuwa mpiga-GUITAR maarufu baada tu ya miaka mitatu "NDIO ISHARA BINADAMU HARIDHIKI" sidhani.

Mimi nafikiri ni ishara kwamba hata nikizeeka kimwili, sitaki kuzeesha akili yangu sambamba na huo mwili.

Naipa akili yangu CHALLENGE kila wakati.

Lakini katika suali lako, Mkuu, hukuishia hapo tu; bali uligusia hata mambo ya tamaa.

Hiyo ikiwa na maana eti 'kwakuwa mshahara wangu hautoshi basi nikaibe pesa za watu';

Ikiwa na maana 'kwakuwa eti mke wangu huyo mzuri nimekwishampata niende sasa nikaonjaonje hata huko kwa majirani zangu';

Hayo yote ni mauwaji ya akili, uchafuzi wa dhamira, pia 'uvunjaji' wa roho na huku mtu huyo akijiathili vibaya yeye mwenyewe!

Ni jela au aina yoyote ile ingine ya jehanamu, kwa maoni yangu: uma au binadamu wenzio watakuja kukushughulukia tu kwa namna moja au ingine ikiwa kumbe wewe ni mtu mwenye tamaa kama hizo! Na unastahili kwenda tu!

Kwa hiyo tunapoangalia suala hilo, Mkuu, tuwe waangalifu: Iko mizani ya kupimia ndoto (AMBITIONS) nyingi za mtu na hizo ndoto ni halali kabisa.

Heshima zote kwako, Mkuu (Na asante kwa suali lako la kuvutia). Hatuwezi lakini kutumia mizani hiyohiyo ya wachapakazi ili tupimie uchu na tamaa hizo za kijingajinga kama nilivyojitahidi kuvitaja hapo juu.Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com