tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post5584080462249690760..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Baada ya mafunzo ya KIMWANA katika KITCHEN PARTY akufanyiayo KIMWANA yanaweza kuwa sio mapenzi tena!:-(Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-32051754680364225592010-11-01T09:48:10.097+02:002010-11-01T09:48:10.097+02:00Hapa twaweza kusema lipo penzi la kujifunza na pen...Hapa twaweza kusema lipo penzi la kujifunza na penzi halisi ambalo lipo moyoni.
Umenikumbusha juzi nilihudhuria kitchen party ya mwanaume...Oh,inaitwaje vile..`boy party' au nini vile? mmmmmh,
Katika muda wa masaa mawili au matatu watu wanatoa hoja jinsi gani ya kumlea mke, nikajikuna kichwa kuwa kumbe haya yana shule.
Lakini shule ya masaa inataraji matokea ya miaka kenda au zaidi na je kuna uelewi wa darasa hili kama pendo halipo? je huko kwa akina mama wamemfunda nini mwali ili yaoane na haya mume mtarajiwa.
Isieje ikawa kule anafundwa mafiga matatu na huku anafundwa kuwa `mume' asitawaliwe na mke, na kwahiyo yeye sio mafigo tu bali ni jiko la gesi, au la mkaa au la umeme..`movable' leo kwa huyu kesho kwa yule...

Mhh, mkuu sijui nipo sawa au nimeenda nje ya mada...mmmmh, najua utaguna kwa waza au kwa hadithi njoo, utamu njoo, ....kwaheri!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com