tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post5740644307253301859..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Labda kila kitu ni NYOKO- ila ni aina mbalimbali tu za NYOKO!:-(Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-59038670996008060172011-03-07T17:23:40.550+02:002011-03-07T17:23:40.550+02:00@Mtoto mzuri Yasinta: Si utani!
Haki ya nani ni...@Mtoto mzuri Yasinta: Si utani! <br /><br /><br />Haki ya nani ni kweli mie nahisi usemacho!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-58389477721011138272011-03-07T17:21:05.134+02:002011-03-07T17:21:05.134+02:00Binadamu tuna yetu haturidhiki kabisa na chochote ...Binadamu tuna yetu haturidhiki kabisa na chochote kile.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-67975107866847710342011-03-07T14:57:01.447+02:002011-03-07T14:57:01.447+02:00@Mkuu Fita: Ni kweli nahisi ! Ila hii kitu inashtu...@Mkuu Fita: Ni kweli nahisi ! Ila hii kitu inashtua kidogo hasa kama unaipitia kikweli kivitendo halafu unaiona jinsi igeuzavyo mpenda keki na mwenye keki atamani Viazi vitamu alivyowahi kukivikimbia kwa kufikiria keki kwenye KICHENI PATI ni zaidi na ujanja kuliko kulisha wajanja waendao kujishebedua kwenye KICHENI pati VIAZI vitamu MURUA vya kuchemsha na Magimbi tuli kwa pembeni bila kusahau Mihogo a.k.a CHIPSI dume yenye kachumbari swafi na togwa kwa mbali ambayo wasela wakilalamika unaitonyesha kwa kuimwagia gongo kidogo ili wapate ridhimu.:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-34474767134860120962011-03-07T14:45:57.216+02:002011-03-07T14:45:57.216+02:00Kaka hata wanasaikolojia kama vile Rogers na Abrah...Kaka hata wanasaikolojia kama vile Rogers na Abrahim Maslow waliwahi kusema hakuna binadamu ambaye anaridhika. Kwa mujibu wa "Maslow's Hiarachical Theory of Human Needs" anasema binadamu anamahitaji mengi sana ambayo yamepangwa kulingana na mahitaji ya muhimu; kwanza kuana Physiologica needs ambapo anahitaji kama vile chakula nk, pia kuna security needs, social needs, self esteem needs na ya tano ni Self actualization needs ambayo sasa binadamu anahitaji kuonekana na kuheshimiwa kwa kutaka mambo makuu zaidi.Fita Lutonjahttps://www.blogger.com/profile/03789415919309665836noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-87044989945801272892011-03-07T14:24:57.702+02:002011-03-07T14:24:57.702+02:00@Mkuu M3:Ndio Hapoooo!:-(@Mkuu M3:Ndio Hapoooo!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-46304116041045837332011-03-07T13:07:10.858+02:002011-03-07T13:07:10.858+02:00Sidhani kuwa binadamu anaridhika, hata kama angepe...Sidhani kuwa binadamu anaridhika, hata kama angepewa hela akaambiwa hizi zitakutosha kula maisha yako yote, angedai kulishwa, angedai zaidi ya hizo, hata kunyang'anya, kwani mafisadi wana hela ngapi mpaka watake `kumfisidi mlalahoi!<br /> Tatizo ni kutokuridhika!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com