tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post625410329951847031..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: CHANZO cha wazo lilelile BAYA ikiwa ni RAIS NYERERE na sio MCHUNGAJI MTIKILA,....Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-39278921284053182722012-02-24T14:35:55.224+02:002012-02-24T14:35:55.224+02:00Kwa hoja hii,la muhimu ni jinsigani unavyo lipoke...Kwa hoja hii,la muhimu ni jinsigani unavyo lipokea wazo hilo, na kulitafsiri katika ulimwengu/jamii unayoishi. siku zote jamii au wnajamii ndiyo wafikishao wazo la mtu fulani katika uwanja wa kuoneka kiupotoshaji au laa!. kwa mfano nikiuliza swali kati yako mtakatifu na yasinta nikitugani kinawavutia nyinyi binafsi kusoma blog zenu? je matokeo yakuzisoma ni kama chanzo kimawazo ?na je kunaupotoshwaji ndaniyake au laa!jeni kwasababu mnafahamiana kama wana blog? na sisi wasomaji wenutunaamini lipi katika hoja hii, wazo ukilisimamia nakuliamini,kwa nguvu zako zote laweza kugeuka bibilia au msahafu kwa walifuatalo. hoja nzuri kwa kutafakali,napia kubadirisha mitazamo yetu ya kuangalia mambo kiju juu. kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-69659642244227231262012-02-24T11:49:07.948+02:002012-02-24T11:49:07.948+02:00Mmmmhh! kwa hiyo ndio inakuwa MWISHO?Mmmmhh! kwa hiyo ndio inakuwa MWISHO?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-44865205025385916002012-02-24T11:39:25.563+02:002012-02-24T11:39:25.563+02:00Si lazima kwa kuwa saa nyingine ukichokonoa kidond...Si lazima kwa kuwa saa nyingine ukichokonoa kidonda ndio unapokutana na usaha@YasintaSimon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-33343993119361807552012-02-24T11:37:01.088+02:002012-02-24T11:37:01.088+02:00Ahsante kwa ufafanuzi. Kwa hiyo wazo/fikra likisha...Ahsante kwa ufafanuzi. Kwa hiyo wazo/fikra likisha yambulishwa kila kitu kinaweza kuwa swari tena?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-21607508709737946602012-02-24T11:29:11.719+02:002012-02-24T11:29:11.719+02:00Kimsingi hakuna wazo potofu. Ila kwa kuwa jamii na...Kimsingi hakuna wazo potofu. Ila kwa kuwa jamii na watu waejijengea maadili fulani-wazo lifanyalo mtu au jamii ivuke/ipinde kimaadili iliojiwekea huweza kutafsiriwa kama POTOFU. <br /><br />Na kwa kuwa kuna wapotezwao na WAZO la wengine - basi wazo hilo huweza kuwa ni POTOFU ingawa itabidi na kupotea kwenyewe kunyambulishwe kuwa ndio nini.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-83141447217486920602012-02-24T11:13:48.441+02:002012-02-24T11:13:48.441+02:00Hivi kuna wazo potovu?...najiuliza kwa sauti. Ijum...Hivi kuna wazo potovu?...najiuliza kwa sauti. Ijumaa njema nawe pia Mtakatifu wa watakatifu:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com