tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post6652590056755677851..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Ile kitu ``FANYA nisemavyo na usifanye NIFANYAVYO!ยดยด- wakati BADO nao ni ushauri!:-(Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-50903583625942328262011-03-06T02:27:51.049+02:002011-03-06T02:27:51.049+02:00@Mkuu Malkiory:Ubin-adamu ni kweli si mchezo! Na ...@Mkuu Malkiory:Ubin-adamu ni kweli si mchezo! Na kuhusu huo usemi nahisi ndio kithibitisho tuko wengi washauri tu kwa maneno na sio kivitendo Mkuu!

Si umestukia mpaka ahadi za wanasiasa wetu wakati wanatafuta kura na wakati huo washaurivyo wananchi?:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-41271157256328982202011-03-06T01:00:28.061+02:002011-03-06T01:00:28.061+02:00Mkuu Kitururu naona umeamua kumwaga nondo ya nguvu...Mkuu Kitururu naona umeamua kumwaga nondo ya nguvu.Ubin-adamu si mchezo.

Lakini vipi kuhusu ule usemi wa kwenye biblia kwamba usifuate matendo yangu bali yale nikufundishayo!malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.com