tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post7146137030454640545..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Siku wewe ungekutana na WEWE, ungejitongoza?Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-14249581640665675752012-03-14T16:41:01.782+02:002012-03-14T16:41:01.782+02:00@Kaka S: Nakubaliana kabisa na hoja!
@Dada Yasint...@Kaka S: Nakubaliana kabisa na hoja!<br /><br />@Dada Yasinta: Nakupenda sana nawe Kadala!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-25504680028471746392012-03-07T16:52:32.093+02:002012-03-07T16:52:32.093+02:00kiukweli,niliwahi sikumoja kujiuliza juu ya kauli ...kiukweli,niliwahi sikumoja kujiuliza juu ya kauli hii mpende jirani yako kama unvyojipenda. nikaishia ,kwa haraka haraka kuona ka ma ni ngumu sana kwa binaadamu wa kawaida kutenda /kutekeleza kauli hii. kwa maneno unaweza kumpenda jirani yako. kimoyoni/nafsi inahitaji dhamira /wito katika kutekeleza. kaka s.sam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-18696372778438183262012-03-07T15:28:59.039+02:002012-03-07T15:28:59.039+02:00Nadhani siku mimi ningekutana na MIMI ningezimia.....Nadhani siku mimi ningekutana na MIMI ningezimia...nakubaliana nawe kwanza jipende mwenyewe na wengine watakupenda...Lakini nadhani mara nyingi huwa tunajisahau..wewe si jirani yangu basi nami NAKUPENDA KAMA NIJIPENDAVYO:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com