tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post7161914986611129851..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Katika MAHANGAIKO ya DUNIA,....Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-15290410000179721752011-04-15T19:22:56.042+03:002011-04-15T19:22:56.042+03:00@Rachel:Kweli kabisa ndio Maisha yenyewe hayo!:-(
...@Rachel:Kweli kabisa ndio Maisha yenyewe hayo!:-(

@Mkuu Goodman:Nanukuu``Siri ya mafanikio maishani ni kuweza kutofautisha: "WANTS" ni za kifahari?? (LUXURY) lakini "NEEDS" ni lazima upate kwa mfano: chakula.ยดยด. Yani umemaliza hapo Mkuu!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-73624841578394863012011-04-14T22:56:28.865+03:002011-04-14T22:56:28.865+03:00Mkuu, umegusa suala muhimu sana hapo: "tamaa&...Mkuu, umegusa suala muhimu sana hapo: "tamaa"

Ninaweza nikawa nayo pesa ya kutosha kununua gari aina ya Rolls Royce. Lakini kama mimi ni mwalimu wa shule ya Shaaban Robert Dar es Salaam na naishi Manzese haina haja ninunue gari. Bora zaidi niendelee kupanda daladala. Lakini kwa tamaa na maringo nitanunua tu!

Kwa Kiingereza zipo "NEEDS" halafu "WANTS". (IN OTHER WORDS, YOU MAY WANT A ROLLS ROYCE, BUT YOU DO NOT NEED IT IF YOU ARE A NON-MAGNATE WHO LIVES A STONE'S THROW FROM HIS/HER OFFICE).

Siri ya mafanikio maishani ni kuweza kutofautisha: "WANTS" ni za kifahari?? (LUXURY) lakini "NEEDS" ni lazima upate kwa mfano: chakula.

Nafikiri Kiswahili chake ni maneno mawili na vile mtu anavyoweza kutofautisha:

1. "mahitaji"

2. "matakwa".Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-22905526138326437902011-04-14T18:27:40.211+03:002011-04-14T18:27:40.211+03:00Binamu kila siku tunahangaikia vitu,leo tukihangai...Binamu kila siku tunahangaikia vitu,leo tukihangaikia ndoa baada ya ndoa watoto,ikiwa chakula baadae maji,ikiwa nyumba baadae shamba......

Nafikiri ndiyo mtindo wenyewe wa maisha @kaka Kitururu au.....nimejaribu kuwaza.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.com