tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post7458457516006386134..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Baadhi ya pesa hupitia mpaka kwenye TITI!Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-34685616263767567962009-01-20T20:26:00.000+02:002009-01-20T20:26:00.000+02:00@Kaluse: :-)@Kaluse: :-)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-13891759571271292322009-01-20T17:56:00.000+02:002009-01-20T17:56:00.000+02:00na mimi nasema DUH!!!!na mimi nasema DUH!!!!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-35766598676427585472009-01-20T11:57:00.000+02:002009-01-20T11:57:00.000+02:00@Markus: DUH!:-)@Dada Koero: :-)@Markus: DUH!:-)<BR/>@Dada Koero: :-)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-25875278109621119882009-01-20T06:45:00.000+02:002009-01-20T06:45:00.000+02:00Haya kaka, Mkodo, mzee wa mawazoni,Ahsante kwa ubu...Haya kaka, Mkodo, mzee wa mawazoni,<BR/>Ahsante kwa ubunifu,Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-79435324175596283282009-01-19T19:37:00.000+02:002009-01-19T19:37:00.000+02:00Duh! Mkuu, labda ndiyo maana rangi nyeupe na nyeku...Duh! Mkuu, labda ndiyo maana rangi nyeupe na nyekundu zinapendwa sababu ni mfano ingawaje hazitimizi agano. Basi kwavile tunajua tujuacho ndicho kijulikacho, inakuwa bongo la ujiko kujua kwamba kuweka pesa kwenye MATITI ni bomba hata kama watoto wakubwa hawanyonyi hadharani! Ndiyo maana wanajua kwamba Waleti hubeba vikorombwezo toka geti la nyuma hadi pale mlango wa dada fulani mweny mwanya uwavutiao wapendao kutafuna meno ya wenzao. Kumbe lile domo ni kubwa chapati inapwaya halafu anajongea kwa mikogo utadhani mkuu wa kitengo cha maficho ya pesa yaani MATITI. Aise vipo vifichwavyo hata vikionekana huwa kero, labda pesa nazo hunyonya kile kinyonywacho na watoto wakubwa wajuao utamu wa kunyonya maziwa ya mama mwenye kuficha pesa pale. Labda ni uhaba wa pochi tu ndiyo maana hata kule uani ni halali kuweka pesa zinukiazo manukato ya zenji. sijui pengine!<BR/><BR/>nimeshindwa kakaMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.com