tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post7595444148263516054..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: KUHUSU nini kwa Mrembo KHADIJA kinaleta MAANA wakati kwako ni MKOROGO TU!Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-74428199346630965712011-06-16T05:18:06.679+03:002011-06-16T05:18:06.679+03:00@Mkuu Goodman: Hilo nalo ni neno!@Mkuu Goodman: Hilo nalo ni neno!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-9148295318949654492011-06-16T04:47:38.776+03:002011-06-16T04:47:38.776+03:00Hapana, thamani katika mambo ya maisha, jinsia, au...Hapana, thamani katika mambo ya maisha, jinsia, au biolojia, HAMNA.

Ugali kila mtu lazima ale tu, au anaweza kuumwa kimwili au kiakili. THAMANI YA UGALI NI NJAA!

Ndio maana hata simba au mbwa, wanachuma mboga tu. Hata hao wanaojidai ni watakatifu mimi nasema waongo tu! Jamaa bondeni huko akitaka ugali wake lazima utampatia tu! Mbona tunazidi kudanganyika bure!?Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-56895733197732155852011-06-15T03:33:51.265+03:002011-06-15T03:33:51.265+03:00@MkuuMalkiory: Labda ni kwa kuwa ilikuwa ni shughu...@MkuuMalkiory: Labda ni kwa kuwa ilikuwa ni shughuli ya kupukuchua mahindi anda presha!Najaribu tu kumtetea Mwananume !:-(

@Rachel Mmmmmmh!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-13452355396208349312011-06-14T19:30:43.834+03:002011-06-14T19:30:43.834+03:00haahahhaa @kaka malkiory nao walikuwa na maana yao...haahahhaa @kaka malkiory nao walikuwa na maana yao,kiu,kutaka waongelwe sana au kijimtindo chao au...

@Kaka wa mimi Simon, hapo nimekuita kama ilivyo kwa kiswahili, Umenena!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-82723614439026770672011-06-14T17:17:54.375+03:002011-06-14T17:17:54.375+03:00Hata Bhoke na Ernest japo ni vajana wamaliza dk ta...Hata Bhoke na Ernest japo ni vajana wamaliza dk tano kwa missionary!!!!!!!!!!!malkiory matiyahttp://www.malkiory.comnoreply@blogger.com