tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post7604556939120526057..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Msafiri sio KAFIRI kihivyo.....Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-68658126737849364722012-10-15T15:57:55.794+03:002012-10-15T15:57:55.794+03:00hata mimi ni mfuasi wa blog yako na hasa lugha yak...hata mimi ni mfuasi wa blog yako na hasa lugha yako ile ninaipendaga sana utakuwa bongo mpaka lini? au umeshaondoka safi sana hasa huyo dada mmoja aliyeinua mguu ule mhhhhh!natamani ningekuwepo ila kama anavyosema dada Yasinta umekuwa kimya sana,na upande mwingine wewe ni mutani wangu kwa mama mie muhayaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-19398967198319427202012-10-14T01:13:06.912+03:002012-10-14T01:13:06.912+03:00Simon upo salama maana kimya kimezidi..Simon upo salama maana kimya kimezidi..Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-15091260855068330832012-10-09T18:38:52.059+03:002012-10-09T18:38:52.059+03:00Kitururu usirudi Ulaya bwana...Kitururu usirudi Ulaya bwana...Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-22194615216713027472012-10-04T09:05:58.981+03:002012-10-04T09:05:58.981+03:00Simon nimefurahi kusikia uko Tanzania,
Kuna habar...Simon nimefurahi kusikia uko Tanzania, <br />Kuna habari ya Mazengo Secondary school Alumni nilitaka kukwambia kitambo ila nikawa nasita kwa umbali ulokuwapo. Madhali upo basi ntaku email maelezo.<br />Ila kwa kifupi 'the now St john'university...inawatafuta the then x alliance and x mazengoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-86516155643328355032012-09-28T15:53:49.270+03:002012-09-28T15:53:49.270+03:00mmmhh kama huna mke anafanyiaje kazi kumpata huyo...mmmhh kama huna mke anafanyiaje kazi kumpata huyo mtoto?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-16215807429947674082012-09-28T00:40:39.411+03:002012-09-28T00:40:39.411+03:00@Anony: Mie Baba Mpare , Mama Mjita! Mtoto wa tano...@Anony: Mie Baba Mpare , Mama Mjita! Mtoto wa tano ...na wa mwisho (kwa Mama).Nipo Bongo kwa sasa hivi... ingawa ni msafiri safiri sana tu. Nahusudu wali kwa maharage yalioungwa kwa nazi... kwa chai napendelea vitumbua au kiporo cha wali kwa maharage.Mke sina ... mtoto nafanyia kazi kumpata.<br /><br />@Yasinta: Asante Mtu wangu!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-10260212240686563872012-09-27T23:19:18.610+03:002012-09-27T23:19:18.610+03:00hivi simon kituro wewe ni kabila gani naukaa wapi ...hivi simon kituro wewe ni kabila gani naukaa wapi na uafanya kazi gani na umeoa na wewe ni mtoto wangapi kwenu na je na kwa sas hivi unaishi wapi unapenda chakula gani na na kama huna mke unataka kuja kuoa mwanamke wa jinsi gani na pia una mtoto ni hayo nataka kujua kwa nia nzurii tu maana mimi fan wako mkubwa na pia na penda blog yako ubarikiwe sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-54004316391044927132012-09-27T17:39:54.267+03:002012-09-27T17:39:54.267+03:00mpaka wivu...inapendeza kwa kweli!!mpaka wivu...inapendeza kwa kweli!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com