tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post7813527448494029770..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Leo katika konspirasi: FREEMASONRY!Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-35575376421205977202011-03-05T19:13:00.722+02:002011-03-05T19:13:00.722+02:00@Mkuu Goodman: nakunukuu: ``THE BEST AND THE WORST...@Mkuu Goodman: nakunukuu: ``THE BEST AND THE WORST OF WHAT MAKES US HUMAN YOU WILL FIND IT WITH THE FREEMASONS.ยดยดยด- kuna neno hapo linniwazishalo.

Ila kwenye hili swala utakutana na opposing views na kila mtu anadai anauhakika na ajuacho kitu kifanyacho swala zima la FREEMASONRY ni delicate kwangu kiasi fulani!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-5400410349719421542011-03-04T14:11:45.698+02:002011-03-04T14:11:45.698+02:00Mkuu asante!
Kama ungejuwa, nami juzi nilikuwa na...Mkuu asante!

Kama ungejuwa, nami juzi nilikuwa nasoma kuhusu mambo hayohayo, lakini baada ya video uliyeonyesha naona ni ndoto za mwendawazimu kwamtu kutegemea anaweza kupata pumba ni Ipi na mchele ni upi.

Kama nilivyosikia katika hizo video zao hayupo hata mmoja aliyetamka wao eti ni wanautulivu??? (PACIFISTS) au watakatifu. Hata nao watakatifu tunajuwa ikibidi damu wamwage wanamwaga tu.

Sasa kweli jamaani kigumu kuelewa ndio nini?

Hawa ni jamaa wenye nia nzuri (THEIR MORALITY IS IN THE RIGHT PLACE).

Wamejiunga na chama chao hicho ili kwendeleza misingi ya mawazo yao kuhusu ulimwengu....(UMOJA NI NGUVU).

Wanasimamia BROTHERLY LOVE (ujamaa) na kama wewe ukiwa mmoja wao wakati Raisi wa nchi yako naye ni mwanachama ambae hua mnakutanaga huko LODGE ("msikitini"/ "kanisani" lenu la FREEMASONS) je unafikiri hatakwonyesha hiyo BROTHERLY LOVE akisikia matakwa yako?

Mpya lakini kwangu ni kwmamba hata Waswahili nao pia na Waarabu (AMERICAS AND THE MIDDLE-EAST) wanaweza kuwa wanachama. Yapili ni kwamba wanapiga kura ya kusema ukubaliwe au ukataliwe. Nilikuwa sijui.

Nitakwenda kupiga hodi siku moja huko nione nitakubaliwa au kukataliwa; lakini nafikiri kuwa mwanachama siyo jambo la kufanyia mzaha. Hawa watu wanaupenda ulimwengu wao hadi kufa, vilevile wanajiamini wao ni hodari katika mambo yote yale unayeweza kukutana nayo duniani.

Kwakufafanua zaidi na hiyo sentensi: walieleza kwaKizungu hivi: [TO MAKE GOOD MEN BETTER]. Sasa neno "GOOD" linayo maana yapili: "hodari". Na ndio maana kwaKiingereza unaweza kusema; "MR PHIRI IS A GOOD THIEF" ikiwa na maana "ALIKOPITA HUYO PHIRI WATU WANALIA NYUMA YAKE KWA WIZI"

Maana yake, kwa maoni yangu: THE BEST AND THE WORST OF WHAT MAKES US HUMAN YOU WILL FIND IT WITH THE FREEMASONS.Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-80463898689480720982011-03-04T08:07:14.437+02:002011-03-04T08:07:14.437+02:00@Rachel: Ntafanya hivyo Dada yangu!@Rachel: Ntafanya hivyo Dada yangu!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-6238284087632302652011-03-04T00:29:29.250+02:002011-03-04T00:29:29.250+02:00Nami nasubiri umalizie hizo nafaka@ Kaka Kitururu...Nami nasubiri umalizie hizo nafaka@ Kaka Kitururu!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.com