tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post8049912166348672234..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: UNATAKA UKUMBUKWEJE - na DAKTARI wa SEHEMU ZA SIRI baada ya kutoka kuchekiwa na DAKITARI sehemu za SIRI?Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-68194578406698208382011-02-19T09:41:03.502+02:002011-02-19T09:41:03.502+02:00@Mkuu GOODMAN: Duh! Yani jamaa alikuwa anajali hoj...@Mkuu GOODMAN: Duh! Yani jamaa alikuwa anajali hoja imeandikwaje kuliko HOJA inamchango gani yani!:-(
Lakini labda kuna kitu kafanikiwa kwakua tunamjadili sasa hivi hapa!

Ila mambo ya kukumbuka ni nusu nusu ndio maana hata kwa WAKRISTO kuhusu YESU kilichonukuliwa ni muda mfupi tu wa maisha yake kitu kifanyacho tufikiri alikufa BIKIRA!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-83690776302345278262011-02-18T22:37:58.637+02:002011-02-18T22:37:58.637+02:00Yupo Mbunge mmoja huko Wingereza naye alikuwa na s...Yupo Mbunge mmoja huko Wingereza naye alikuwa na sifa (au kero) ya kusoma HANSARD (yale maandishi yaliyoandikwa juu ya mijadala mbalimbali ya bungeni).

Naye aliulizwa siku moja: "Mzee, kwanini uansomaga haya maandishi kwa makini?"

Alijibu: "Mimi nataka nisahihishe kila kosa la mwandishi katika mambo ya SPELLING pale wanavyoninukuu mimi, kwani sitaki vizazi vijao vinielewe mimi kama mtu asiyejali namna ya kwandika maneno"Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-65729686361633096212011-02-18T18:45:48.761+02:002011-02-18T18:45:48.761+02:00@Mkuu CHIB: Unajikwaaje ? Au unatembea huku una su...@Mkuu CHIB: Unajikwaaje ? Au unatembea huku una surf net kwenye simu?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-40261185847539601612011-02-18T18:26:53.733+02:002011-02-18T18:26:53.733+02:00Habari ya Kadala imenifanya nijikwae!Habari ya Kadala imenifanya nijikwae!chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-2022353311866221032011-02-18T08:02:25.100+02:002011-02-18T08:02:25.100+02:00@Yasinta: Samahani kwa kukutisha kwa KICHWA!Halafu...@Yasinta: Samahani kwa kukutisha kwa KICHWA!Halafu nahisi unatabasamu vizuri kweli wewe KADALA! :-(

@Rasta Luihamu: Kweli kama wengine watasahau mie hilo Ntakumbuka!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-26227630779375824292011-02-18T06:56:36.201+02:002011-02-18T06:56:36.201+02:00nadhani nitakukumbuka kwa kujari kuisimamami jumuw...nadhani nitakukumbuka kwa kujari kuisimamami jumuwata.nyahbingi worrior.https://www.blogger.com/profile/16213059100323353150noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-78248264167173894352011-02-18T00:52:35.934+02:002011-02-18T00:52:35.934+02:00Kukumbukwa ni wachache sana wanakumbukwa... Duh Ka...Kukumbukwa ni wachache sana wanakumbukwa... Duh Kaka Simon nilipoona kicha cha habari hicho ... ok. Nimesoma huku nikiwa na tabasamu baada ya kufikia hapo kwenye majina ya KADALA NA KADODA:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com