tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post8990399868792525826..comments2023-11-16T21:37:41.331+02:00Comments on Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI: Maisha ya HABARI kwenye Televisheni!Simon Kitururuhttp://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-9100306663089951932011-03-15T12:50:22.420+02:002011-03-15T12:50:22.420+02:00@Rachel +Chib: Ee bwana foleni ni ndefu kweli yan...@Rachel +Chib: Ee bwana foleni ni ndefu kweli yani na na kilometa kadhaa yani bado ilinifike kwa Babu!

Ntaangalia uwezekano wa take away kwako Rachel na kwa CHIB nnikipata kikombe ujue na wewe umepona kwa imani!:-)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-24124128470883361622011-03-15T11:52:07.736+02:002011-03-15T11:52:07.736+02:00Wanahabari wako sawa duniani kote. Nakubaliana na ...Wanahabari wako sawa duniani kote. Nakubaliana na swahili ...., kwana hata Tz, Babu wa Loliondo kashika chati hadi masuala aya Dowans yamesahaulika.
Simon, ukiwa unakunywa kikombe cha dawa ya Babu, uwe unanikumbuka na kwa imani nami nitapata dozi ya kinga auuu :-)chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28243782.post-23355846023270531902011-03-12T20:35:21.002+02:002011-03-12T20:35:21.002+02:00Babu mchungaji yuko juu sasa,kila kona babuuuuuuu,...Babu mchungaji yuko juu sasa,kila kona babuuuuuuu,haya sijui kinatokea nini sasa ilibabu azimwe,mara myingi habari zinakuwa mbaya/masikitiko zaidi kuliko za furaha, kwangu mimi nikifuatilia habari mwanzo mwisho hudhuni nyingi sana,hasa za Afrika yale mabaya ndiyo yanaongoza BBC/CNN ........,Hivi kwanini au ndiyo zina mvuto kwao?

ok kaka ngoja nikuache ujiandae kwenda huko kwa babu lakini foleni bado kubwa sana tutakukosa hapa @kaka Kitururu! akikubari take away unichukulie hhahaahaaaa!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.com