Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nimerudi. Tuko Pamoja!

>> Saturday, January 11, 2020


Read more...

Cheka nuna.

>> Friday, February 14, 2014

Na ukinuna,..
Je moyowo watabasamu?

Na ukicheka,..
Je moyo ununao ni wa kibinadamu?

Cheka nuna na ikibidi lia,...
Na si mwisho wa cheko  yalizayo ni utamu?

Cheka nuna,...
 Na wala usijilazimu.

Cheka,..
Ili nasi tudoee wako utamu.

Nuna,...
Ila usilize mpaka mizimu

Cheka nuna,...
Je si hata kulia ni ubinadamu?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Read more...

Wakati UNAJISIKILIZA,...

>> Sunday, May 19, 2013

...sikiliza na WENGINE basi.

Halafu ikibidi ndio UBISHE!


Swali:

  • AU?


Ni wazo tu hili aisee!

Read more...

YEAH! Tupo ndani ya ya-MWAKA mwingine!

>> Thursday, January 03, 2013

Vipi lakini! 
Mwanzo POA?

Mie nimeanza kidukinaa mwanana yani..
Ni hilo tu!
Baadaye!

Read more...

HAPPY NEW YEAR Nguli!

>> Saturday, December 29, 2012

Na nakutakia KHERI tu AISE!

Ndio,...
... mie na MAX!


Read more...

Kiutambulisho zaidi: MAX UHURU HERIEL KITURURU!

Yeah!


Ndio,..
...ni MWANANGU wa kwanza wa KIUME ni mjuaye!
Na kama kuna  mama watoto wangu MWINGINE  ambaye sijui na MTOTO naye,...
.... NISTUE !:-)

Pamoja sana!

Read more...

Merry Xmas AISEE!

>> Monday, December 24, 2012

Pamoja Sana!J Boog Ingilia...katika ku-Cool Down The Pace
Don Carlos kumbushia ..Gimme Gimme Your Love

   

 Halafu tu tena J Boog zima kwa- Gotta be STRONG


 

Read more...

DAKAWA...

>> Thursday, December 13, 2012

..kwa JICHO la Nguli....
MATANJE Wa'mphuno-ngaNdunyungu PHIRI


Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP