Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!
Showing posts with label Wow. Show all posts
Showing posts with label Wow. Show all posts

YA DUNIA: Masaji KIDUCHU ya NYOKA!

>> Friday, July 27, 2012

Haya tena....


 

Read more...

Leo katika PITAPITA : DUH kumbe ZANZIBARI tokea enzi NA ENZI hakukuwa BONGO aisee!!

>> Saturday, June 30, 2012

Nilikuwa nimezoea kuita tu Tanzania  -BONGO,...
.... bila kuwa na SIASA au hata KUFAGILIA jina BONGO kama jina la TANZANIA hasa kwa kulioanisha na SIASA , DINI  au hata kwanini wajanja walianza kuiita TANZANIA Bongo NYOSO,...
......wakati jina lake ni TANZANIA .


Swali:
  • Si ushawahi kujikuta unatumia NIKI NEMU hata wakati unajua jina halisia la MHESHIMIWA?
Ndio,..
... nakumbuka kuna waliooanisha neno BONGO na Dar-es -Salaam tu,..
... ila sikutegemea kuamsha hisia za Mke wa Mzanzibari LEO kihivyo kitu kilicho zua hotuba kikusahihisha  kirefu sana kuwa WABONGO ni WABARA hao,...
... katika WAZANZIBARI  hakuna MBONGO.

Swali:
  • Hivi hii kitu MUUNGANO wa TANGANYIKA na ZANZIBAR..ni kwanini  usiri MWINGI.?
  • Na kwa nini inafikia mpaka  tunachukiana NDUGU kwa NDUGU ... mpaka siri nyingine za rafiki za CHUKI unakutananazo kwa MKE wa RAFIKI ambaye unafikiri nyie ni TAIFA moja huku MKUU wa TAIFA hasemi kitu?

Kumbuka tu uchukuliavyo KITU,....
... labda sio kila mtu NDIVYO akichukuliavyo HIVYO  hicho KIDUDE,...
....na siri nyingine atoaye ni MWENZA wake kimaisha kwa kuwa yeye kistaarabu ,..
..hayo ya CHUKI  huyaongelea USIPOKUWEPO ambako kama sio ´MSIKITINi wala KANISANI ingawa na LABDa wala sio hata,....
...  CHUMBANI.

Ni hilo TU!:-(


Hebu Mbongo  ,...
.....samahani Mzanzibari ,...
........yule MZEE Yussuf asawazishe kwa-ALAMBA





Mzee Yussuf alainishe zaidi kwa kuja ki-Daktari wa MAPENZI kwa kirefu



AT na Mwa4 wakatizie denge na-Vifuu Tundu


AT aongezee - BAO LA KETE




Au tu turudi BONGO ili Saida Karoli asigine-Wakati Ndio Huu

 

Read more...

The name is BOOTSY baby!

>> Sunday, June 17, 2012



Nipo!:-(
























Ndio STING alikuwepo.... hata kwa ..
-SHAPE of my HEART





Alidinyapia -Englishman in New York













Au tu hebu Bootsy Collins aingilie kati tena kwa pini - I'd Rather be with you



Au tu Da Brat alainishe kwa kunikiria kuwa leo niko -Funkdafied

Read more...

TANZANIA

>> Tuesday, June 12, 2012

Read more...

Kama hujapangiwa KUONDOKA dunia HII......

>> Thursday, April 12, 2012

Read more...

YA DUNIA: Human echolocation lets blind man 'see' /Kuona kwa KIPOFU kwa KUSIKIA.

>> Monday, November 14, 2011

Swali:
  • Kama unaona-JE wakumbuka wasioona wanadinyaje wasiyoyaona ?

Cheki moja ya mbinu ya wasioona KUONA,...
... katika -Human echolocation lets blind man 'see'



Read more...

Hatua katika kufuta MALARIA Duniani!

>> Friday, November 11, 2011

Read more...

YA DUNIA: Mwanamama KIUNO kama NYIGU!

>> Wednesday, October 19, 2011


The Smallest waist in the World on a Living Person

Read more...

Jamani binadamu , VICHAKANI kama tu MAPORINI ni haiwei za watu!

>> Wednesday, October 12, 2011


Swali:
  • Si kichawi  yasemekana WANYAMA ni watu?
Ni mzinguo tu huu MKUU!
Nakutakia KAMANYOLA bila JASHO!

Read more...

Hivi ni WATANZANIA wangapi wamewahi kufikiria kukwea MLIMA KILIMANJARO ?

>> Monday, October 10, 2011

Kuna mambo  yako tu JIRANI ,....
.... kama MUBGA za WANYAMA Tanzania au Milima ya ULUGURU,....
.... ambayo ni WAGENI  waonao thamani zake na  watambuao hata tamutamu zake kimahudhurio.

Hebu tumdeku  MGENI  akijipima  kwa kukwea ndude ya BONGO,...
... bila MIKONO wala MIGUU .....




Au tusikie ya Neil Duncan, Dan Nevins, Kirk Bauer wa Disabled Sports USA,...
... katika yao ya Mlima Kilimanjaro,....



Ndio,...
.... kuna wadaio MAISHA ni magumu BONGO,...
..... kitu ambacho tayari ni kigumu tayari na kifanyacho mengine ni ya KITALII kuwa ni LAKSHARI.


Swali la KIZUSHI kwa FISADIZ:

  • Vipi WAHESHIMIWA Fisadiz ambao labda muna MUDA na PESA, ..... mshawahi tembelea hata MIKUMI kujua angalau KIBOKO JIKE uso kwa uso anapendelea wanja ya rangi gani?
Usitishike MKUU labda nazingua tu!:-(
Jumatatu NJEMA!

Read more...

Wakati TONY MELENDEZ asiye na MIKONO anapiga GITAA kwa MIGUU!

>> Friday, October 07, 2011

Swali:

  • Si kuna wafikiriao unahitaji mikono kupiga GITAA?

Hebu baada ya kusikia kifupi kuhusu yeye  ashushe pini:
-Let it be


Tudeku tu  pia  na yaliyojiri    PAPA John Paul akiwepo kushuhudia  katika kibao,....
- Never Be The Same


Ndio,...
.... labda kuna GITAA  lako KIMAISHA  ambalo limezoeleka kupigwa mimba  hata  KIPESA au tu KIVYETI  vya ELIMU KUBWA ,...
.....lipigikalo bila PESA wala ELIMU  kama utatumia kitu kingine  kulipa mimba tu LIZAE NEEMA kwa kutumia visivyozoeleka!

Swali:
  • AU?

Ndio,...
.... labda UNAWEZA udhaniacho huwezi,...
..... ila JARIBU kwa njia nyingine  kama NJIA watumiazo wengine kwako HUNA jinsi ya KUWANAZO!

Ni hilo tu MKUU!
Ijumaa na WIKIENDI NJEMA!

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP