Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!
Showing posts with label Ujinga. Show all posts
Showing posts with label Ujinga. Show all posts

Wakati AIBU YANGU labda inachagua WALE wa Wakuwaonea AIBU!

>> Thursday, August 09, 2012

Na kunawatonyao  akina AKINA wakina ,...
... SIMON KITURURU eti waache kutia AIBU kisa wamesikia AIBU ,...
... lakini katika ki-AIBU...


SWALI:

  • SI inawezekana hata bila kuangalia KISAIKOLOJIA labda bado  kuona aibu ni moja ya UDHAIFU fulani ambao huletwa na ambacho MTU hana nguvu ya kukivalisha chupi ili kisitie aibu KIVYAKE?



  • Si uonealo aibu kama ungekuwa unanguvu nalo ungezuia lisitokee na kwa kuwa unasikia aibu basi lina kera kwa kuwa MOJA YA KERO kiaina ni kiaina LINAKUFUNULIA KIMPANUO kukujulisha kuwa weye kuna ambayo kikuyazuia ni  DHAIFU?



Na kitiacho AIBU,...
.... labda ni KILE watu wajifunzacho TU lakini!:-(

Swali:

  • AU?




Na na kama UNASIKIA AIBU,...
.... labda UMEJIFUNZA KITU kuhisi AIBU ambacho labda MWALIMU MKUU ni,...
 .....JAMII uifichayo SIRI,...
...Limpenzi ambalo unataka ulipe ya SIRI,...
..... MINDUGU yako ambayo unataka IKUHESHIMU,...
......  hata kama tutairuka MIRAFIKI YAKO na MTUZ zote zikuzungukazo.

Nimeacha ila...SWALI:

  • SI unakumbuka yamzungukayo hata kwa kujifanya ZUBEDA labda siyo yamzungukayo SIMON KITURURU au weye kitu kiwezacho kutenganisha ni nini kwa HALIMA  ni aibbu kama tu kwa Mr Johnson na Hassani ?
  • Na LAKINI si hata MPENZI huweza kujifunza KUTOSIKIA aibu hata kuachia ushuzi mbele ya MPENZI wake kisa KAJIFUNZA tu KITUZ?


Na BINADAMU kama anasikia AIBU,....
.....labda AMEJIFUNZA kusikia AIBU kwenye KITU ambacho kama ni ambacho kinafanyika na BINADAMU na kinawezekana kwa MTU,....
.....labda hicho wala sio cha kuonea AIBU kwa BINADAMU,...
... kwa kuwa katika hicho BINADAMU kaweza na LABDA  katika hilo BINADAMU awezalo,...
....LABDA hilo  sio tena ni swala la KUBABAISHA Kibinadamu,...
.... na KULIONEA aibu ni kudhalilisha UBINADAMU!:-(

Swali:

  • AU?
  • Kwani ni UMUNGU tu ndio unaostahili SIFA na UBINADAMu  angalau kidogo hauwezihata kukubalika katika UDHAIFU wake?
Ndio,...
.... na AIBU hata kama sio kwako!:-(


Na HILI ni wazo tu hili aisee MHESHIMIWA!:-(



Hebu REMMY ONGALA aingilie kwa kurudia--Tembea Ujionee


   


 Scarface akatizie denge kwa-Recognize

   


 Halafu Notorious B.I.G azime tena  kwa- Hypnotize

 

Read more...

Jumapili NYINGINE labda bado ni JUMAMOSI kivingine!:-(

>> Sunday, August 05, 2012

Na  ukiwahisha ya JUMATATU,...
... basi labda bado una ya JUMAPILI weye!:-(


Swali :

  • AU?

Na usipoangalia,...
.... au hata unapoangalia,...
.... labda ya JANA bado umekujanayo MPAKA  leo AISEE!:-(

Ni wazo tu hili NGULI!




Hebu Fally Ipupa aingilie kati kwa-Bicarbonate

 




Fally Ipupa aongezee-Kele Papa


 


Au tu azime kwa -JUPKA

 


Ndio,...
...bado NIPO aisee!:-(







































Read more...

Halafu nikanyimwa KIDUDE kwa KUONGEA UKWELI hapa DUNIANI!:-(

>> Tuesday, July 24, 2012

Taka usitake,... 
... saa nyingine ni WADANGANYAO,... 
... INASEMEKANA ndio wadakao TAMUTAMU kiulaini za HATA ya KIDUNIA! 



Swali: 

  • Unauhakika utaenda MBINGUNI? 



Ni hilo tu KAMANDA!



 Hebu SHABBA RANKS arudie-Love Punany Bad


Shabba Ranks aongezee -Bedroom Bully








SHABBA aongezee zaidi kiduchu kwa-Wicked in a bed







GHAFLA Isley Brothers waingilie tena ....

   

 Halafu PRINCE azime....
 

Read more...

Halafu KATIKA YOTE ....kunatubanwao na UCHI aiseee!!

>> Monday, July 16, 2012

Na uchi wa KIMAISHA,...
.... unaweza kuwa ni TUMBO aisee!

Swali :
  • SI mdomo na kinyeo KIMAISHA ...labda mambo mengineyo ...KIMAISHA ...kuna vipengele visakiziwavyo tuuu huko nanihii?

Ndio,....
...kuna wabanwao hata na KAZI pia,..
... wakati kujipendekeza kwao kwenye mikazi yenyewe labda ni MSHAHARA tu,...
... ingawa MSHAHARA wenyewe wala sio UCHI kivile kwa mpenda UCHI ,...
... hata wakati kimaisha wako UCHI aisee!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMATATU njema NGULI aisee!




Ndio ,...
....I can feel it coming IN THE AIR TONIGHT


Phil Collins adai zaidi nigewe- One More Night




  GREGORY ISAACS asaidie,...
....nilalamikiye ya kuhusu weye kuwa-SAD TO KNOW

 

Halafu STEEL PULSE warudishe ghafla udini,....
..... kwa ku-rudia -Chant A Psalm




Halafu,...
...NIPO aisee!






Read more...

STORI fupi kabla kila kukicha TANZANIA hakujawa na MIKOA mingine MIPYA lukuki ... kama siku HIZI !

>> Wednesday, July 11, 2012

.....kabla MIKOA haijaongezeka TANZANIA BARA ......

....Waheshimiwa wakijadiliana CHOBISI!




Mheshimiwa wa kwanza:
  • Si ZANZIBAR inataka kujitenga eeh?
Mheshimiwa huyohuyo wa kwanza:
  • Basi ngojea tuongezee MIKOA Tanzania BARA ili Wabara  wajisikie Njombe haikuwa IRINGA, na ARUSHA ni kubwa vilevile ... na kwa  wengine wale tutunge KATAVI na.... ili hata ZANZIBAR ikijitenga kipande kimoja cha MKOA wa MOROGORO tukiite ZANZIBAR.

Waheshimiwa wote kwa pamoja kikaoni:

  • Bonge la AIDIA aisee.. ila turefushe kikao .. si unajua tena MARUPURUPU tena?

Halafu waheshimiwa wote kwa pamoja karibu na mwisho wa KIKAo :

  • Eee Bwana si wajanja kweli aisee!

Mwisho wa STORI ya KIZUSHi kitungo dhaifu!!

Hebu turudishe WAGHAIBU ,...
....ambao haki ya nani ELIMU ZAO ,...
... ndio tuzisifiazo wenyewewenyewe kama KIPIMO nani MSOMI zaidi....

. ... tustukie tu KIMAGHARIBI  ya PERFECT Day ki -LOU REED


Lou REED huyuhuyu aongezee tena - Walk on the Wild Side
 


Au tugewe tu ALLAH HOO kimashariki na
-Nusrat Fateh Ali Khan



NDIO ni UCHOKOZI tu HUU aisee MHESHIMIWA NGULI!

Read more...

The name is BOOTSY baby!

>> Sunday, June 17, 2012



Nipo!:-(
























Ndio STING alikuwepo.... hata kwa ..
-SHAPE of my HEART





Alidinyapia -Englishman in New York













Au tu hebu Bootsy Collins aingilie kati tena kwa pini - I'd Rather be with you



Au tu Da Brat alainishe kwa kunikiria kuwa leo niko -Funkdafied

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP