Showing posts with label Salamu. Show all posts
Showing posts with label Salamu. Show all posts
Kiutambulisho zaidi: MAX UHURU HERIEL KITURURU!
Yeah!
Ndio,..
...ni MWANANGU wa kwanza wa KIUME ni mjuaye!
Na kama kuna mama watoto wangu MWINGINE ambaye sijui na MTOTO naye,...
.... NISTUE !:-)
Pamoja sana!
Read more...
Unataka MALANI?
>> Friday, April 06, 2012
Haya basi,...
PASAKA NJEMA!
Au tu hebu tudakwe na SHAKILA katika -Moyo unalia macho yanacheka
Halafu Buddy Guy azime kwa - Mustang Sally
Au tu JAMES BROWN aendeleze mdinyo wa 1966....
Lebo:
Salamu
Happy Birthday DADA NTE!
>> Saturday, March 10, 2012
Ndio,..
... wewe ni MAMA yangu ,...
... na ASANTE kwa YOTE!
HAPPY Birthday Dada NTE a.k.a Dada PHEBE!
Na,...
HAPPY BIRTHDAY DADA JOY!
....ingawa siku yako ilikuwa JANA lakini!
![]() |
| DADA JOY kushoto, Binti yake LOYCE kulia! Ndio ,... ....na DADA wawili katika FAMILIA na wamepishana siku MOJA kikalenda! |
TUKIACHANA na HILO hebu twende tena ETHIOPIA ili MEKLIT HADERO adai ya-FEELING GOOD
Au tu Meklit Hadero amwage pia kiithiopia-ABBAY MADO
Jinsi ya kuanza KUKALISHA Mawazo sio KIBIBLIA!
>> Monday, January 23, 2012
... hata kama hayajakaa KIPAGANI au KIKURUANI!
Swali:
- AU?
- Si yasemekana kunawasahauo kuwa mawazo yao labda yameegemea MRENGO fulani?
Ndio,...
.... labda kukalisha MAWAZO ni jambo MTU ajifunzalo tu,.....
.... na kuna uwezekano MAWAZO ya mtu hata yale yasiyokaa KIKURUANI au KISABATO bado yamekaa tu MKAO fulani ambao LABDA ni wa KIVYAKOVYAKO!Ndio,...
... ni WAZO tu hili MHESHIMIWA!
Jumatatu NJEMA Mwayego!
Hebu Mighty SHADOW arudishe makalipso katika -Universal Language
Mighty Shadow aongezee-I wish
The Mighty Shadow atekenye pia - Doh Mix Meh Up
Halafu ghafla Mrisho Mpoto na Maunda waturudishe Tanzania kwa pini - Samahani Wanangu
Lebo:
Mtonesho,
Salamu,
UjingaBUSARA
MISS JESTINA BLOG YASHINDA TUZO YA BLOG YA MWAKA UK
>> Tuesday, October 25, 2011
Salam,
Urban Pulse Creative inapenda Kumpongeza dada yetu Jestina George kwa kushinda tuzo muhimu ya Blog ya Mwaka katika tuzo za BEFFTA zilizizofanyika Jumamosi tarehe 22 Octoba 2011 ndani ya ukumbi wa Lighthouse, Camberwell jijini London.
Wakati akitoa Hotuba yake Jestina alianza kwa kumshuru Mungu ambae amemwezesha kumpatia uzima, afya njema pamoja na mafanikio makubwa aliyopata mwaka huu. Aliendelea kwa kuwashukuru Wazazi wake na mwisho wadau wote ambao walimpigia kura Pia Mabloggers na Tovuti mbalimbali ambazo zimemsaidia kumpigia debe na kuibuka mshindi wa BLOG OF THE YEAR 2011 kutoka kwenye kundi lenye Blog 15 za kimataifa. Hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa Mtanzania kuingia, kushinda na kumfanya kuwa Mtanzania wa Kwanza kupokea tuzo za BEFFTA kwa upande wa Blogs
Jestina George ameitoa wakfu Tuzo yake kwa dada yake mpendwa Kissa George ambaye hatunaye tena hapa Duniani.
Vazi lake lilibuniwa na KIKI wa Kiki's Fashion Tanzania. Kwa maelezo zaidi na taswira mbalimbali za tukio hili Tembelea http://missjestinageorge. blogspot.com/
Asanteni,
Urban Pulse Creative
![]() |
| Frank Eyembe kutoka Urban Pulse, Lynn Kapinga, Jestina George, Mashel & Musa Sissasi Sarr |
![]() |
| Jestina akienda kupokea Tuzo Baada ya Blog of the year |
![]() |
| Jestina Akila Pozi na wadau waliokuja kushoo Love |
![]() |
| Jestina Akimwaga speech ya kuwashukuru wote walioweza kumpigia kura |
![]() |
| Jestina akiwa katika pose na Tuzo yake |
![]() |
| Jestina akiwa na marafiki zake waliokwenda kumsupport kutoka kushoto Jacque Maina, Jestina George, See Li, Amina Mussa & Zulfa Mussa |
![]() |
| Zulfa, jestina, Lynn & Frank kutoka Urban Pulse wakifurahia ushindi. |
![]() |
| Jestina akiwa na mdogo wake Luiza baada ya kupokea tuzo |
Nimetumiwa na:
Frank Eyembe wa Urban Pulse Creative
Hongera JESTINA!
...kutoka kwa:
-Simon Kitururu
Read more...
Lebo:
Krosi KIAINA,
Salamu
Heri ya siku ya kuzaliwa Askofu Desmond Mpilo Tutu!
>> Friday, October 07, 2011
![]() |
| Desmond Mpilo Tutu (Alizaliwa tarehe 7 October 1931) |
HAPPY BIRTHDAY MKUU!
Kivyako umejitahidi aisee!
Hebu tumsikie tena akiongelea kitu kama kawaida yake,....
Au tu hebu Rais MUGABE amtusi kidogo ,....
Lebo:
Salamu
Leo ni siku ya WAZEE!
>> Saturday, October 01, 2011
Hongera na HESHIMA zenu WAZEE!
Nawatakia MAISHA MAZEFU,...
... yasiyo na dozi kubwa KIKUKEREKA!!
Habari ndio HIYO!
Uchokozi:
- Wazee wa JUMUIYA ya AFRIKA MASHARIKI mshalipwa?
Lebo:
Salamu
EID MUBARAK kwenu WOTE! Inshaallah kuleni EID MWANANA waislamu WOTE!
>> Tuesday, August 30, 2011
Lebo:
Salamu
Subscribe to:
Posts (Atom)











